Civil engineering consulting firm(structural engineering)

Mtego

Member
Dec 29, 2011
32
3
Wakuu habari.
Mimi ni mhandisi ujenzi, nafanya kazi taasisi ya serikali kwa miaka 2 sasa hapa Dar es Salaam.
Natafuta kazi isiyo na malipo katika civil engineering consulting firm(Structural Engineering). Kama tutakubaliana naweza kuwa nafanya full time siku mbili hadi tatu kwa wiki(Jumatatu-Ijumaa) katika consulting firm.Consulting firm ninayohitaji iwe imebase hasa kwenye majengo. Nia hasa ni kuwa Proffessional Engineer hapo mwakani. Bosi wangu kaniruhusu
Kabla sijaajiriwa serikalini nishafanya kwenye civil engineering consulting firm kwa mwaka mmoja, kwa hiyo nina kauzoefu ka kufanya structural design hasa kwa kutumia master series, hizi kazi nazifanya mpaka leo(kazi binafsi).
Naombeni msaada

Angalizo; Kama huna cha kuchangia, pita tu;
 
Mawasiliano; 0719 021 693

mkuu kwanini usiwasiliane na SMEC INTERNATIONAL,hawa ni wazuri sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom