Nimechoka kuuumiza kichwa, sasa naliweka wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechoka kuuumiza kichwa, sasa naliweka wazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Foundation, Mar 4, 2012.

 1. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Kwa miaka mingi nimekuwa nikiwasikia Madaktari na Walimu wakilalamika waongezewe mshahara na posho.Sio hayo tu hata kama wana madai yao ya malimbikizo ya mishahara au posho yoyote huwa wanapaza sauti sana.

  Chama cha Walimu Tanzania(CWT) na Chama cha Madaktari Tanzania(MAT) wamekuwa wakipaza sauti kwa niaba ya Walimu na Madaktari huku wakiungwa mkono na walimu na madaktari. Ingawa chama cha Walimu kimekuwa kikiyumba lakini kimeonyesha njia. Chama cha Madaktari kimekuwa kikisimama bila kuyumba wakati wote hata kama wakigawanyishwa.

  Sasa huwa najiuliza, hivi hapa Tanzania ni Madaktari na Walimu peke yake wana matatizo.Je Wahandisi,wahasibu na kada nyingine hawana matatizo?

  NASIKIA WAHANDISI WANA CHAMA CHAO WANAKIITA INSTITUTION OF ENGINEERS, HUWA SIKISIKII HIKI CHAMA KUWATETEA WAHANDISI ZAIDI YA KUHAMASISHA WAHANDISI WAJIUNGE NA HICHO CHAMA NA KUORGANISE SEMINARS,WORKSHOP NA TOURS.

  Au hizi kada nyingine ukitoa Walimu na Wahandisi hawana matatizo

  ANGALIZO: KAMA HUNA CHA KUCHANGIA NI BORA UICHE HII THREAD
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeiacha hii thread!Lakini jibu lipo wazi,kama chama kipo kimya ujue wanachama hawana matatizo!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Mr. Foundation mm ni mhandisi wa ujenzi

  Tatizo la wahandisi ni kubwa sana na ni dogo sana

  kubwa kwani wengi ni underpaid...

  dogo kwa sababu kazi ziko nyingi na wanahama watakavyo...
  dogo kwani wengi wameajiriwa na sekta binafsi........
  na ni dogo zaidi kwa sababu wanaishi kwa rushwa...
   
 4. C

  Claxane Senior Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usingizi wa viroba huo. Usiwe kama kondom iliyotumika ikafuliwa inasubiri mwingine.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu tupo kwenye boti moja, this country is too corrupted! kiasi cha kuwafanya watu wahsindwe hata kutambua nini maana ya maadili ya kazi zao. When an Engineer is under paid in Tanzania, he just look for another job and leave the old one. Hili ndilo linatufanya tuendelee kuwa disorganized and never solve the engineering problems.
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wasomi kwenye kada nyingine wana nafasi kubwa ya kuajiriwa kwny mashirika binafsi.Isitoshe sio wengi kama kama walimu na madaktari.
   
 7. M

  Mtego Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hadi sasa Madaktari ndio wanalipwa zaidi kuliko kada nyingine. Tujiulize kwa nini hao wengine wapo kimya. Kuna uwezekano wana njia za mkato zinazowafanya kupata pesa kama kupata 10% kwenye miradi au kuiba pesa za umma
   
 8. M

  Mtego Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani Walimu hawana nafasi kwenye sekta binafsi. Madaktari je?
   
 9. M

  Mtego Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na wewe ni great thinker. Ovyo
   
 10. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ukumbuke kuwa Madaktari ndio waaanaongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa ukilinganisha na kada nyingine lakini bado wanaona haziwatoshi.Utasemaje hao wengine hawan matatizo
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  naona injinia analazimisha Kingi
   
 12. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Sip ukweli. Hamna kada ambayo haiwezi kuajiriwa sekta binafsi
   
 13. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180

  Je kuhama hama kwao kunawafanya wanakoenda wapate maslahi wanayoyataka. JE ni wahandisi wote wana nafasi ya kula rushwa? Je huko sekta binafsi wanalipwa vizuri?
   
 14. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Masaburi at work
   
 15. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Solution?
   
 16. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ni wangapi wanaweza au wana nafasi ya kula rushwa?
   
 17. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wahandisi wengi ni mbayuwayu hawasubiri ajira za CCM sanasana wanaipiga katoo Serikali inapowapa tenda
   
 18. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Naona wengi mnazungumzia wahandisi tu. Kuna kada nyingi ukitoa Walimu na Madaktari ambao wapo kimya
   
Loading...