Recent content by mtanzaniahai

  1. mtanzaniahai

    Migomo ya wafanya biashara kwa EFD-TRA mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Morogoro, Dodoma na mingineyo

    Wadau wa JF tuchangie maoni kuhusu wafanya biashara kuigomea TRA kuhusu matumizi ya EFD. Je na nini kifanyike tuuokoe uchumi wetu... Tunaomba maoni wanaJF.
  2. mtanzaniahai

    Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

    How about using those assets (mashamba na nyumba) as collateral to access loans from bank.. Kama ni kujenga tu bila investment idea hio ni issue.. But sometimes unajenga nyumba as a trust to access loan from any bank.. As Tanzania bila collateral mkopo utausikia tu..
  3. mtanzaniahai

    Natafuta mke lakini sina kazi!!!!

    Mimi nikushauri ubadilishe hii thread " Natafuta kazi" ..... Ukishapata kazi automatically umepata pesa.... Ukipata pesa.. Women (wives) will chase you... proved!!!! .... Don't chase women, chase money automatically.... Umenipata!
  4. mtanzaniahai

    Mch. Msigwa 'afyatuka' Bungeni...

    I appreciate this extreemly good speech; Nadhani tukiwa na wabunge wenye mawazo kama haya tutaifikisha mbali nchi yetu.. Tujifunze yanayoendelea kwenye nchi ya UK ambapo wabunge walim-question CEO and others management staffs of Barclays Bank kwa benki yao ku-misuse LIBOR. Hivi hapa kwetu...
  5. mtanzaniahai

    Makazi haya ni salama?

    kaka sio ulikuwa unaenda kuchimba dawa.. wewe!
  6. mtanzaniahai

    Romantic service ni huduma mpya?

    nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaana, i like it........ may be the service is available
  7. mtanzaniahai

    Mathayo atoboa siri ya kushindwa Ubunge

    Huyu jamaa kinachomtatiza ni shule; hana shule na anataka kutumia vijisenti vyake vya magendo ya mafuta na nyama kuwarubuni wananchi... Wamekushtukia.. hapo ndipo ninapowapendea Wanamusoma.... Ukiwa na malaria sio lazima utumie Chloroquine chungu siku hizi kuna dawa chungu tele... Wacha...
  8. mtanzaniahai

    Furaha ya CHADEMA

    Huna maana! Unawazia mabaya tanzania yetu. Chadema wapenda amani ni sio huu uchuro unaouwaza mzushi wewe! Go to hell
  9. mtanzaniahai

    Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

    Badala ya kujadili mapenzi tuuu; tujadili kwa nini huyu Mtanzania mwenzetu (Thabit Hasheem) anachemsha sana NBA,?
  10. mtanzaniahai

    Kwa nini Tanzania ( ATCL) haina ndege?

    Watanzania naombeni tupambanue kwa undani kwa nini nchi yetu kupitia shirika letu la ndege ATCL halina ndege? Je ni huu ufisadi au wameshindwa na hata Precision Air, Rwanda, Mauritius, na nchi nyingine ndogo kwa kweli ni aibu; wangetangaza kuuza hata hisa zao kwa wananchi. Linasikitisha kwa...
  11. mtanzaniahai

    China passenger train hits 300 mph, breaks record

    Wakuu nililipandea hilo train liko fast sana; nikasema ni lini Tanzania tutakuwa na uwezo wa kuwa na angalao lile la kawaida la speed normal la kwenda hapo Kigoma. Tunahitaji mabadiliko, nayo yatapatikana bila rushwa (walivyo Wachina) na serikali thabiti yenye uchu wa maendeleo na sio kula good...
  12. mtanzaniahai

    The secret behind Dar`s posh homes

    The NHC is good but what make it unattainable is after this talk, and boses having khaki envelopes as well as journalist have their khaki envelopes to decorate the story like the above one (Guardian), it is the end of story. Msechu we dont care how clean you are but if this is your plan you...
  13. mtanzaniahai

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    How to Increase Penis Size with Penis Exercises By Peter Davidoff Article Word Count: 380 [View Summary] Comments (17) Ancient records tell us that exercises were used as a means of penis enlargement thousands of years ago. However, only recently serious medical studies and...
  14. mtanzaniahai

    Nauza LCD TVs......

    TV zinazouzwa kwa hio bei ni LED; hapo unaua kaka
  15. mtanzaniahai

    wanipendao siwapendi na nimpendae haonyeshi kunipenda kwa dhati nifanyeje?

    Ukweli ni huu: wadada wengi wa kitz au kiafrika mkishasoma mnakuwa na maisha ya movie; unapoteza uafrika wako ambao ndio chimbuko la ndoa. Unakutana na demu siku ya kwanza ananyonya "barafu" na kumeza maziwa yake directly utamuoa huyo kweli? Haya ndio maisha ya movie! Pia unakuwa na...
Back
Top Bottom