Romantic service ni huduma mpya?

Romantic service ni huduma mpya?

Renegade

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2009
Posts
7,731
Reaction score
8,040
249738_1394549120710_1741670409_669220_5044009_n.jpg

Wakuu nimeona hii nikajiuliza maswali mengi, je huduma hii ni ipi? ipo kisheria?
 
Ulipopiga picha ungepata ufafanuzi kwao ingekuwa poa mkuu.
 
Mkuu picha nyingine zinapigwa juu kwa juu hata namna ya kuomba ufafanuzi hakuna.

Mkuu hapo unawezakuta kuna ileeeeeeeeeeeeeee huduma ya wazee wa express..........may be unapata kinywaji huku unapata massaging
 
Mkuu hapo unawezakuta kuna ileeeeeeeeeeeeeee huduma ya wazee wa express..........may be unapata kinywaji huku unapata massaging
Kweli mkuu, lakini kama ndio ile inaruhusiwa? si wanasemaga ni kosa? au ....!
 
249738_1394549120710_1741670409_669220_5044009_n.jpg

Wakuu nimeona hii nikajiuliza maswali mengi, je huduma hii ni ipi? ipo kisheria?

Hilo swali ungeliza kwa wahusika ungepata majibu sahihi; sasa JF nani atakuwa na ukweli wa hapo!....ngoja tumsubiri mkuu bujibuji anaweza kuwa najibu sahihi! teh teh.
 
Tuambie iko wapi hii ili tukapate huduma.
 
Toa muelekeo ni wapi hapo ili tujielekeze tulete majawabu .......
 
tuelekeze ,,,nami nikapate service hapo naona mamsap ameipeleka likizo kidogo na mie naimiss
 
kabla ya yote hii annex inapatikana wapi mi sitakikujua ipo kisheria au haipo..
 
mulidhani ni huduma gani we acha watu munapendaa kula kukueee
Conquest-Dont gain your world and loose your soul
 
Back
Top Bottom