China passenger train hits 300 mph, breaks record

BabuK

BabuK

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2008
Messages
1,847
Likes
72
Points
145
BabuK

BabuK

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2008
1,847 72 145
A Chinese passenger train hit a record speed of 302 miles per hour (486 kilometers per hour) Friday during a test run of a yet-to-be opened link between Beijing and Shanghai, state media said.
The Xinhua News Agency said it was the fastest speed recorded by an unmodified conventional commercial train. Other types of trains in other countries have traveled faster.
A specially modified French TGV train reached 357.2 mph (574.8 kph) during a 2007 test, while a Japanese magnetically levitated train sped to 361 mph (581 kph) in 2003.
State television footage showed the sleek white train whipping past green farm fields in eastern China. It reached the top speed on a segment of the 824-mile (1,318-kilometer) -long line between Zaozhuang city in Shandong province and Bengbu city in Anhui province, Xinhua said.
The line is due to open in 2012 and will halve the current travel time between the capital Beijing and Shanghai to five hours.
capt.fcd2cbf6a6b34902bcb36c040fb52716-fcd2cbf6a6b34902bcb36c040fb52716-0.jpg?x=213&y=311&xc=1&yc=1&wc=280&hc=409&q=85&sig=i5744Tg4xtcnMOjMhy_X4Q--

The project costs $32.5 billion and is part of a massive government effort to link many of China's cities by high-speed rail and reduce overcrowding on heavily used lines.
China already has the world's longest high-speed rail network, and it plans to cover 8,125 miles (13,000 kilometers) by 2012 and 10,000 miles (16,000 kilometers) by 2020.
The drive to develop high-speed rail technology rivals China's space program in terms of national pride and importance. Railway officials say they want to reach speeds over 500 kph (312 mph).

Source :AP
 
M

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Messages
510
Likes
38
Points
45
M

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2010
510 38 45
kweli hawa wachina wanatisha,sisi wabongo hatuwezi kwa sababu tuna ubinafsi,uvivu tunapenda starehe kuliko kazi, mabadiliko yanapaswa kuanzwa na kila mmoja wetu kwa kufanya kazi kwa bidii.Hebu tuwaangalie hawa wachina wenye makampuni makubwa ya ujenzi hapa nchini jinsi walivyo wachapakazi,wanafanya kazi usiku na mchana wanameet deadline za kazi zao wanafanya kazi hapa lakini tujue wanaijenga China yao,hivyo tusishangae kwao changes ''begins with every individual''
 
Sijali

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
2,106
Likes
492
Points
180
Sijali

Sijali

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
2,106 492 180
In Beijing the International Union of Railways and China's Ministry of Railways co-hosted the 7th World Congress on High Speed Rail, a four-day conference and international trade show for the fast train industry.
Two year's ago at the last Congress in Amsterdam, China had only just started building railways for superfast trains.
That was when the International Union of Railways decided to stage this year's event in Beijing; for the first time outside of Europe.
Superfast railway lines offer quicker journeys than planes for distances of up to about 1,300 kilometres, and they're greener to boot.
They transform economies by shortening commuting times, boosting tourism and freeing up conventional lines to carry up to seven times as much freight. By most measures China is now the world's leader in the industry.
With nearly 7,000 kilometers of track, China already has the world's largest high-speed rail network, and it's aiming to more than double its total to 16,000 kilometers by the year 2020. In ten years time, nearly every city in the country with more than half a million people should be serviced by trains traveling at speeds of up to 380 kilometers per hour.
Chinese companies have won orders to build high-speed railways in Argentina, Saudi Arabia and Venezuela. A Chinese train has recently set the world speed record for an unmodified conventional commercial train when it hit 486 kilometers per hour on a test run on the new Beijing to Shanghai line, which is due to open next year.
The maker of the superfast train was the CSR Corporation. On December 7 it entered a joint venture with America's General Electric to build high-speed networks in the US, with an initial focus on the states of Florida and California.
 
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Messages
5,153
Likes
644
Points
280
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2009
5,153 644 280
A Chinese passenger train hit a record speed of 302 miles per hour (486 kilometers per hour) Friday during a test run of a yet-to-be opened link between Beijing and Shanghai, state media said.
The Xinhua News Agency said it was the fastest speed recorded by an unmodified conventional commercial train. Other types of trains in other countries have traveled faster.
A specially modified French TGV train reached 357.2 mph (574.8 kph) during a 2007 test, while a Japanese magnetically levitated train sped to 361 mph (581 kph) in 2003.
Hiyo record ni kwa ile style ya kuhesabu ki 'BC' i.e. kabla Yesu hajazaliwa ?

Halafu ukweli ni kwamba wanasaidiwa na wataalamu wa Kifaransa na Kijapan. China kama China baaado sana
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,909
Likes
4,387
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,909 4,387 280
Mabasi yaendayo kasi dar yataanza lini kazi?
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,589
Likes
5,086
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,589 5,086 280
Haahaha wanaenda kasi kweli kweli hawa watu lakini subiri itakavyowachinja siku moja maana wakati mwingine mambo yao wanafanya kimkatomkato magorofa mengi karibu yanafika angani lakini yakianza kuanguka au kushika moto ndio utaelewa nini kilifanyika.
 
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
548
Likes
8
Points
0
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
548 8 0
Hiyo record ni kwa ile style ya kuhesabu ki 'BC' i.e. kabla Yesu hajazaliwa ?

Halafu ukweli ni kwamba wanasaidiwa na wataalamu wa Kifaransa na Kijapan. China kama China baaado sana

NI bora wao wanaosaidiwa wakasaidika na walau maendeleo yakaonekana, kuliko sisi ambao tunasaidiwa halafu tunaiba hata huo msaada na bado tunaendelea kuomba ili tuzidi kuiba zaidi...!

Kwa miaka mingine 10 ijayo china itakua ni global power manake ina kila kitu na sababu ya kuifanya iwe hivyo...!
 
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Messages
1,789
Likes
235
Points
160
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined May 11, 2009
1,789 235 160
Hiyo record ni kwa ile style ya kuhesabu ki 'BC' i.e. kabla Yesu hajazaliwa ?

Halafu ukweli ni kwamba wanasaidiwa na wataalamu wa Kifaransa na Kijapan. China kama China baaado sana
Mind set!!
Baaado sana kwa kulinganisha na nchi gani? za kiafrika ambapo mtu unakaa jijini halalfu unanunua maji kwenye vidumu na huku unagawiwa umeme? Au kwa kulinganisha na Marekani? Kama ni kwa kulinganisha na Marekani, hata ujerumani na Japan bado sana kuifikia Marekani. Nafikiri tukubali kujifunza kutoka kwa wenzetu wanapofanya mambo mazuri ya kimaendeleo. Si lazima uchina, bali hata kama ni Malawi, wakifanya jambo zuri, tulikubali, na tuige.
 
mtanzaniahai

mtanzaniahai

Member
Joined
Oct 3, 2010
Messages
21
Likes
0
Points
0
mtanzaniahai

mtanzaniahai

Member
Joined Oct 3, 2010
21 0 0
Wakuu nililipandea hilo train liko fast sana; nikasema ni lini Tanzania tutakuwa na uwezo wa kuwa na angalao lile la kawaida la speed normal la kwenda hapo Kigoma. Tunahitaji mabadiliko, nayo yatapatikana bila rushwa (walivyo Wachina) na serikali thabiti yenye uchu wa maendeleo na sio kula good time Ulaya na Marekani.Tufikirie Watanzania tumegundua nini tangia 1961 mpaka leo, je ni serikali gani imewahi kuendelea kiteknolojia na mapato bila ugunduzi wa sayansi na teknolojia? Tuwekeze katika elimu na tuwe na mipango endelevu na sio ya kuzima moto na ya kisiasa. Tanzania itaendelea.
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
acha foleni itumalizie watanzania. i bet you in the next 10 years, it will take about 10 hours from ubungo to posta!! ccm oyee!
 
Mtumishi Wetu

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
5,142
Likes
500
Points
280
Age
66
Mtumishi Wetu

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
5,142 500 280
Wakuu nililipandea hilo train liko fast sana; nikasema ni lini Tanzania tutakuwa na uwezo wa kuwa na angalao lile la kawaida la speed normal la kwenda hapo Kigoma. Tunahitaji mabadiliko, nayo yatapatikana bila rushwa (walivyo Wachina) na serikali thabiti yenye uchu wa maendeleo na sio kula good time Ulaya na Marekani.Tufikirie Watanzania tumegundua nini tangia 1961 mpaka leo, je ni serikali gani imewahi kuendelea kiteknolojia na mapato bila ugunduzi wa sayansi na teknolojia? Tuwekeze katika elimu na tuwe na mipango endelevu na sio ya kuzima moto na ya kisiasa. Tanzania itaendelea.
Maendeleo ya nchi yataletwa na watu not stories. Dr Slaa alipozungumzia train ya high speed JK akambeza kwenye kampain. Tena kwenye majukwaa, majibu si ndio hayo!!!!!!!!!!! Wachina walijenga reli ya TAZARA KWANI SASA WANA SHINDWA NINI tuwape hizo contracts zisizo na ufisadi watusaidie kwenye hizi reli zetu. Wabunge Baraza la Mawaziri changamka!!!!!!!!!!!!
 
Forum statistics

Threads 1,235,164
Members 474,353
Posts 29,213,561