mtanzaniahai
Member
- Oct 3, 2010
- 21
- 4
Watanzania naombeni tupambanue kwa undani kwa nini nchi yetu kupitia shirika letu la ndege ATCL halina ndege? Je ni huu ufisadi au wameshindwa na hata Precision Air, Rwanda, Mauritius, na nchi nyingine ndogo kwa kweli ni aibu; wangetangaza kuuza hata hisa zao kwa wananchi. Linasikitisha kwa kweli na wakati huo huo wikileaks imewalipua!