Kuna vyombo vingi kama (TUKI,BAKITA,BAKIZA,CHAKITA,BAKAMA) vinavyo husika na maendeleo ya kiswahili .visikae na kupunguza baadhi ya maneno ya lugha nyingine kwenye lugha yetu.kama tulivyo fanikiwa kupata msamiati ya baadhi ya maneno kama Television ,computer,Information Technology,Internet n.k...