nina rafiki yangu yupo st joseph ananiambia kuwa wao vipindi vinaanza saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni with just short kols and one hour lunch break every weekday na darasani wanaitwa majina(attendance) ukiwa below 85% then u r nt eligible kufanya end of semester exams,lecturer akiingia kwenye kipindi kabla yako then huruhusiwi kuingia,maximum number of students in a class ni sixty. To be honest kama vyuo vingine vingekua disciplined to that extent lazima gpa zingepanda provided lecturers are willing to teach.
kwa hiyo hata kunakili hayo madesa hawawezi mpaka wanapitwa na wasiotumia hayo madesa?kwamba unaingia na supporting documents kwenye mitihani.kuanzia tests na ikibidi university exmas!which is very dangerous!
Kumbuka kuwa UDSM na DIT wanafundisha (BSc. Eng) yaani Bachelor of Science in Engineering ambayo huwa inakuwa ngumu kwelikweli maana inamchanganyiko wa Science na Engineering hivyo kupata GPA kubwa siyo rahisi. Hao wa St. Joseph wanafundishwa B. Eng yaani Bachelor of Engineering ina maana hawa husomea uhandisi tu hauchanganyiki na sayansi na huwa siyo ngumu kulinganisha na BSc . Eng na hupelekea kupata ma GPA makubwa.
Wana JF mimi nilimaliza UDSM BSC Comp Engineering,
Form 4 DiV I point 8,Form 6 Div I point 3,FOE GPA 3.0.
Nilivyoingia FOE ,nilijipanga kuweka first class.Mambo yakawa tofauti.Nilishukuru hata kumaliza Chuo.Yupo jamaa yangu wa karibu alidisco mwaka 3.Alingia chuo na point 4 za form 6.
wote nyie mliiba paper secondary enzi za akina Mungai na kapuya nashangaa chuo umemaliza .angalia msije kuangusha maghorofa ya watanganyika .
Wana JF mimi nilimaliza UDSM BSC Comp Engineering,
Form 4 DiV I point 8,Form 6 Div I point 3,FOE GPA 3.0.
Nilivyoingia FOE ,nilijipanga kuweka first class.Mambo yakawa tofauti.Nilishukuru hata kumaliza Chuo.Yupo jamaa yangu wa karibu alidisco mwaka 3.Alingia chuo na point 4 za form 6.
Katika mjadala huu, kunahitajika pia kuelezana tofauti ya Bachelor of Science in Engineering ( BSc. in Engineering), na Bachelor of Engineering (B.Engineering). Kwangu mimi, kitaaluma na kivitendo kuna utofauti. Tukumbuke kwamba DIT na St. Joseph Coll. of Eng. ziko kwenye kundi la vyuo vinavyosimamiwa na bodi ya taifa ya mafunzo ya elimu ya ufundi (National Council for Technical Education) NACTE. Wakati kati vyuo vikuu kama UDSM, nadharia inabeba 60% hadi 70% ya mafunzo yote, na vitendo (practical) inabeba 30% hadi 40%. Kwenye vyuo kama DIT na St. Joseph. Practical zinakuwa na asilimia kubwa kwenye mitaala yao, 40% theory na 60% practical.
Lakini pia ni aina gani ya elimu inatumika, pia ni tofauti. NACTE wanatumia mfumo wa 'competence-based' education. Mfumo ambao vyuo vyote vilivyo na ithibati ya NACTE, vinatumia.
Naona niishie hapo, tuendelee na mjadala.
Sijakuelewa JITUORIGINAL. Huyo member amesomea BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER ENGINEERING, inakuwaje unamuhusisha na ujenzi wa Maghorofa..
Nafikiri wewe ndo hujui maana ya university coz kua independent thinker haimaanishi usitume mda mwingi darasani,after all who told you kuwa university students ndo hawatumii mda mwingi darasani.
mbona una aidii mbilimbili, moja haikutoshi we mtumpole
watu wanadesa,then their gpa get INFLATED.wakiitwa kwenye interview unaweza toa machozi.hawajui hata walichokiandika kwenye cv zao.ukiwaleta kwenye practical MUNGU WANGU!UTAMSLAP MTOTO WA MTU kwa kuabuse professional
kuna chuo X kina ma lecturers,sijui ndo ma TA madem KIBAO!haki ya mungu wale madada wanamagpa ya kufa mtu KWA KUDESA,na hizo honda wanakoziweka UNAWEZA MUOMBA MUNGU AKUONDOE DUNIANI.
sasa wakiwa madarasani wanafundisha,utadhani MWANASIASA anapoisoma hotuba kwa wadanganyika waliompa KULA
..............mwalimu anapewa somo la DESIGN OF STRUCTURES,halafu hesabu KUSHOTO.washkaji kibao waliacha kozi.