If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

MMM.... Umejipalia makaa, uko sahihi kwa 100% lakini umeleta wazo lako mahali pasipostahili. naujua na kuuheshimu msimamo wako wa kutaka mabadiliko na ninathamini sana michango yako humu ndani lakini tofauti na wengine wengi wewe huna unafiki na hutaki mabadiliko just for the sake of changes. kuna wengine humu wako tayari kubadili tope(CCM) na kuweka kinyesi(CHADEMA) badala ya kujaribu kuangalia ukweli wa makosa ya msingi yaliyo ndani ya CDM.
tukiwa na wapenda mabadiliko wenye uelewa wa kiwango chako na wenye kukubali udhaifu ulio ndani mwetu, basi ni rahisi sana kufikia malengo hata kama yatafikiwa kwa kupitia hatua mbalimbali.
jiandae kuitwa MSALITI,MLA RUSHWA, UMENUNULIWA na UNATUMIKIA MAFISADI. POLE SANA

red&bold

mods ban this creep/nut ASAP
 
I would like to say, Mwanakijiji is wrong! We people our selves with our eyes sow each and every things. SISIEM played a rough game. Good examples are there. CHADEMA is not making us to believe lies but we have seen and believed our sleves. There was no free and fair election at all.
WATANZANIA TUTAENDELEA KUWA MBUMBUMBU HADI LINI KAMA MWANA KIJIJI????????????????????????????
 
Thread hii ya mwankijiji is a fruit of the power of Mafisadi in the CCHIem. Mwanakijiji is already bought by mafisadi like a mango. We need people who are serious in their making, not people like MM who speaks lies at the expense of the Public Interest.
Kama umefisika rudi TZ tulima nyanya huku Ilula.
 
Watu naona wanaitikia kwa haraka sana bila kutulia chini na kusoma hasa nimesema nini. Ninachosema ambacho labda inabidi nikifafanue ni kuwa Chadema wakisema "wanamtambua Kikwete kama Rais" au kutuambia kuwa kutoka kwao Bungeni hakukuwa na uhusiano wa kutomtambua Kikwete basi kuna matatizo. Nilichokisema based on a different thread (naamini labda ningeweka kwenye ile thread ningeeleweka kwa sababu wengine wamekuja na kuanzia hapa).

Kuna thread tulikoanzia ambayo ilikuwa na ujumbe huo kuwa "Chadema yamtambua JK"; Ilikuwa kutokana na hilo ndio maada hii ilipoanzia. kwamba hawawezi kubadilisha msimamo juu ya jambo kubwa kama hili na wakabakia bila ya kulipa gharama yake.

kwa mfano, Chadema wakisema:

a. Wanamtambua JK kuwa ni mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2010 watakuwa wamebadilisha msimamo
b. Wanamtambua JK kwa sababu kura zinaonesha kuwa alishinda kwa haki wamebadilisha msimamo

Lakini wakisema (wote na ndio msimamo wa chama) kuwa:

Tume (chombo chenye mamlaka ya kumtangaza Rais) ilimtangaza JK kuwa ni Rais na hivyo JK ni Rais kwa sababu alitangazwa na Tume - watakuwa hawajabadili msimamo kwani wanaelezea a legal situation iliyopo.

Kwa hiyo, la msingi ni kujibu hilo swali. Na hapa niweke hili neno "kama" - kama msimamo wa Chadema wa kumtambua umebadilika kutoka ule wa awali ni lazima waombe msamaha. Lakini kama msimamo wao ni ule ule basi ni jukumu lao kusahihisha taarifa zinazoonesha au kuashiria kuwa wamebadilisha msimamo. Thats all I'm saying.
 
I would like to say, Mwanakijiji is wrong! We people our selves with our eyes sow each and every things. SISIEM played a rough game. Good examples are there. CHADEMA is not making us to believe lies but we have seen and believed our sleves. There was no free and fair election at all.
WATANZANIA TUTAENDELEA KUWA MBUMBUMBU HADI LINI KAMA MWANA KIJIJI????????????????????????????

mwanakijiji anataka tuamini hata Mahanga alishinda kihalali.

unafiki tu.

mawazo na fikra zetu kuhusu uchaguzi mkuu have nothing to do with Chadema

Chadema ni jicho la tatu tu. Tuliona wenyewe kwa macho yetu mawili kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.

Chadema hakifikirii kwa niaba yetu wataka mabadiliko.

tuliona wenyewe.
 
Kila mmoja kwa nafasi yake kwa siku kuna jambo linamtia hasira ama kwa sababu wengine hawajafanya alivyofikiri au alivyotegemea. Tofauti yetu inakuja pale ambapo mwingine hasira zake zitabaki ndani yake na mwingine zitatoka kabisa nje na waliokaribu yake kugundua kuwa amekasirika.

Ndani ya hasira unaweza kukumbuka hata ya zamani ambayo kwa wakati huo hayakuwa na umuhimu tena. wale wanaokusikiliza wanapata nafasi ya kukuhukumu kutokana na utakayokuwa umeyafanya ndani ya hasira zako. Kukaa kimya ni busara kuu.

Kama wewe ni mpambanaji wa ukweli huwezi kuanza kuwalaumu wapambanaji wenzio mkiwa katikati ya mpambano kwa sababu tu umepata hasira kutokana na wenzio kubadili mbinu za mpambano.

thank you so much.
 
now you have your best thread to unveil your crap.

kama chadema haifai tupeni na alternative basi

vinginevyo tutaawaona ninyi pia ni sawa na chadema tu.

At least this very post is useful, receive my thanks!

Your question is good and your conclusion is bit interesting.

What needed here my dear Ng'anangwa is open minded, the real revolution starts from mind.

If your mind is ready fro revolution you will easily notice those who are not in the same vehicle as you!

Alternative?? wow! liked this, alternative is you and me, we should spot those who are just pretending leading us to remove CCM from power, YES they can use all colourful words they will use whatever they have to gravitate us towards them.

If you dessiminate the message of revolution to Tanzanians! we will get leaders who have the same mind-mind of revolution.

I know you hate CCM I do, we all do, however, if you will refer Kenyan experience (of Kibaki and KANU) you wont trust anyone.

Go back to CUF-Zenj, hawakuhudhuria kikao cha wawakilishi miaka 3! they sacrificed everything they stood in what they believed!!!

Nitajie kiongozi mmoja wa chadema ambaye yuko tayari kwenda gerezani akikutetea wewe! usimtafute kama wangekuwepo kwa serikali hii ungewagundua
 
MM: I have read your post a couple of times, I don't see a point that makes you want CHADEMA to apologise. I ask again, apologise for what?


Kama Chadema wame-reverse misimamo yao, ina maana ilikuwa ya uongo na walitudanganya kama ambavyo MMM ameainisha. Kwa hiyo basi waombe radhi kwa kutushawishi tukubali misimamo yao ya mwanzo, ambayo leo wameikana. Kwenye mapambano ya kweli there is no retreat no surrender.
 
Rafiki zangu Kitila na Mnyika,

Basically kikao cha Bagamoyo na matokeo ya kikao hichi yanaonyesha wazi kuwa kwanza hakuna Uongozi Imara na inaelekea hamkujipanga sawasawa hata kabla ya uchaguzi na mambo yanafanywa kwa kukurupuka na ndio matokeo yake tunaona hii John Keery syndrom ya ku-fli-flop!

Je Chadema hawakuwa wamejiandaa vizuri kwa kuanda kupinga matokeo ya Urais na kujijengea makubaliano ndani ya Chama na mbinu na taratibu zitakazofuatwa pindi Kikweta akitangazwa kuwa Rais?

Je Chadema walikuwa wamejiandaaje kwa matokeo jinsi yalivyokuja na kiasi cha kuashiria kuwa "uchakachuaji" umekikosesha Chama Urais?

Je Chadema ilikuwa na watu wa kuhakikisha kuwa kila kura inahesabiwa na kuhakikiwa na kwamba leo hii wana nyaraka na takwimu za kuhalalisha kitendo chao cha awali cha kugomea matokeo na hata kupinga na kukataa kumtambua Kikwete?

Tukirudi kwenye maandalizi, je Chadema hawakujua mapema kwa kupanga mbinu kuonyesha kuwa ikiwa matokeo yatatangazwa na Kikweta atashinda na dhahiri kuna uchakachuliaji, je hatua za kuchukua na kufata ni zipi?

Je hoja ya Katiba inakuja baada ya matokeo kutokea au ni kabla ya uchaguzi? kama ni kabla ya uchaguzi, kwa nini Chadema haikufungua kesi ya mgogoro wa kisisasa, kisheria na kikatiba kupinga hiyo katiba?

Je hoja ya kupinga Tume ya uchaguzi inakuja baada ya matokeo au kabla? Kama ni kabla, Chadema ilikuwa na miaka mitano ya kuleta mgogoo wa kisiasa na kikatiba na kulazimisha kuundwa kwa tume huru na kuoanisha suala la tume huru na katiba mpya. Aidha wakati Mtikila alipokuwa na kesi yake ya kikatiba kuhusu mgombea huru, Chadema walikuwa na nafasi kubwa sana ya kufungua kesi kupinga mfumo na muundo wa Tume, kuipinga Katiba na kupinga madaraka ya Rais wa Tanzania ambayo ni makubwa sana na kuna mambo ambayo inabidi kubadilishwa ili kuondoa upendeleo kutoka kwa idara, taasisi, watendaji na wateuliwa wa Rais ambao hufanya kazi kwa manufaa ya Rais na hivyo kuinufaisha CCM.

Tunapokuja kwenye suala la kupinga matokeo, bado Chadema inaonekana kama mlevi aliyekanganyikiwa. Mnajenga hoja kwa kutumia Usomi an Utaalamu na Uanasheria na si kujenga hoja za kupata ufuasi wa Wananchi na hata kuigeuzia kibao CCM kisiasa.

Hata majibu yenu hapa kwa Mwanakijiji, yamekaa kisomisomi na kisheriasheria ambayo huacha hisia za watu kuchanganyikiwa kujua ukweli ni je Chadema mnamtambua Kikwete au la na kuacha longolongo za technical jargon.

La mwisho, kitendo cha kukimbilia magazetini na kutoa vitisho nyau kuwataka waliosusia kikao cha kumuacha Solemba Kikwete na maamuzi yenu baada ya kupigiana kura za kuaminiana na kutoaminiana na kisha kutoa tamko kuwa mnatamba Kikwete kuwa ni Legal President lakini ni illegitimate, ni ubabaishaji. Chadema mlitakiwa mkae chini kabla ya kila mtu kukurupuka na kuanza kudai tunatambua au mara hatumtambui mapema kabla hata hamjanza kampeni ili kuepuka hii aibu na kujidhalilisha mlikofanya.

Kifupi, ni matatizo haya haya ya kukosa Uongozi imara ndiyo nimeyalalamikia kwa muda mrefu sana na hata kule kuwaomba mjipange upya na kwenda vitani mkiwa tayari na mmejizatiti, matokeo yake ni kuwa hamkujiandaa vizuri kwa uchaguzi na yawezekana kabisa mlikimbilia kugombea Urais kwa kubahatisha na hamkujiamini.

Mimi nawaombeni muwaombe samahani wafuasi wenu na wale wanaowafanyia kazi maana hamueleweki na kama mtaendelea na misuguano na kukosa kauli moja inayoashiria umoja na muunganiko wa fikra na strategy za kuanza 2011, basi mtakuwa na kazi sana itakapofika 2015.

By the way Makamba katoa tamko rasmi leo kuwataka Wagombea wake wote walioshindwa kura za Udiwani na Ubunge waende mahakamani na makao makuu yatagharamia kesi.

Je mmejiandaje kifedha, kiitikadi na kimipango kukabiliana na hili na ni wazi kuwa CCM wanaweza kupinga matokeo ya kila kiti cha Chadema na hivyo kukifanya Chadema kiishie kutumia fedha nyingi mahakamani na kupoteza uwezo wa kujiimarisha na kujijenga kama Chama ndani ya Serikali?
 
At least this very post is useful, receive my thanks!

Your question is good and your conclusion is bit interesting.

What needed here my dear Ng'anangwa is open minded, the real revolution starts from mind.

If your mind is ready fro revolution you will easily notice those who are not in the same vehicle as you!

Alternative?? wow! liked this, alternative is you and me, we should spot those who are just pretending leading us to remove CCM from power, YES they can use all colourful words they will use whatever they have to gravitate us towards them.

If you dessiminate the message of revolution to Tanzanians! we will get leaders who have the same mind-mind of revolution.

I know you hate CCM I do, we all do, however, if you will refer Kenyan experience (of Kibaki and KANU) you wont trust anyone.

Go back to CUF-Zenj, hawakuhudhuria kikao cha wawakilishi miaka 3! they sacrificed everything they stood in what they believed!!!

Nitajie kiongozi mmoja wa chadema ambaye yuko tayari kwenda gerezani akikutetea wewe! usimtafute kama wangekuwepo kwa serikali hii ungewagundua

hujaelewa tu. sijamaanisha unachokifikiri.

namna munaiona chadema mbaya basi nanyi tunawaona wabaya vivyo hivyo.
 
It is our fundamental and constitution duty to speak truth against our political system in our country. It is very dangerous to just 'let it go' like that. This country needs massive political changes my friends. We are the ones to do so. True changes must start with the change of CONSTITUTION. It is our right to fight for that noble change. Otherwise we will be committing a mortal sin of omission.Change is a must! Change is necessary! Change is our right! Change is our duty! Change is an irrebuttable presumption! Change is a final and conclusive choice!
Much Obliged!
 
Has anyone among us ever asked what is the actual cost to the taxpayers for the continuation of fiddling with our taxes? CCM is gobbling our taxes and resources through Ufisadi and all other Crap, and now Chadema which should stand tall and stern to take helms to fight this kushika na kula utamu, is delaying the process using our taxes and resource by giving CCM a free pass.

Basically, CCM has been given an extra time with Chadema filing continuance with the public for the second time since 2005!
 
I'm going to say this in very categorical terms. And I mean every single word here in: CHADEMA must apologize to President Kikwete, its members, supporters and all Tanzanians in general. Why you may ask:

a. For leading people to believe that the elections were somehow not as free or fair as expected.

b. By leading people to believe that the presidential election results were somewhat tampered with, sabotaged or somewhat were fraudulent.

c. By suggesting that the National Electoral Commission colluded with CCM to ensure that president Kikwete remain in power.

d. By making people believe that they were the victims of a corrupt political system.

e. For walking out of the parliament when President Kikwete was about to address the nation protesting the legitimacy of the electoral results that put Kikwete in power. We now know that this was a wrong decision bases on what the CC of Chadema has decided.

What does all this mean? It simply means that Chadema has lost the argument on the fairness of the elections. It has lost the argument that NEC somewhat conducted one of the worst elections ever in the United Tanzania. In a long run this is what is going to happen.:

a. CCM will NOT and I'm stating with sense of absolute certainty - WILL NOT initiate or even allow the process to write a new constitution. The best they are going to is a cosmetic amendments to the constitution. Specifically, just those areas that cover NEC.

b. Chadema will go to the next elections from a position of weakness compared to the position it founds itself in during the 2010 elections.

c. Chadema has taken a position of strategic postponement of its internal problems. Once again it seems there is a lack of leadership; while others see the recent moves within Chadema as the most "intelligent" or "strategic" I see them as decisions of political expediency. One, Chadema is not United not in leadership but in vision, decisions and political positions and secondly, they are still thinking in terms of being an opposition party. CCM will definitely will like to maintain that status quo.

In short, Chadema SHOULD apologize, initiate a process of self assessment, correction and rebuilding. Otherwise, LET IT continue to dig its its own grave of political oblivion. They asked the people to support them, they argued for change in their manifesto, but when push came to shovel, Chadema flinched and flinching they continue.

I'm done with one too. Sigusi tena and those are my points and I'm sticking to each one of them.

Either Freedom or Death,

MMM

Mwanakijiji nakurespect
 
Kabla ya uchaguzi tulikuwa wote, baada ya uchaguzi tulikuwa wote. sasa hii inatoka wapi??

"I'm going to say this in very categorical terms. And I mean every single word here in: CHADEMA must apologize to President Kikwete, its members, supporters and all Tanzanians in general."

Nilifikiri chadema ni gari lililokuwa limebeba wapambanaji wanaotaka mabadiliko na ndani ya gari Kulikuwepo na abiria mwenzetu anaitwa MMM. Je ameshuka? Kama hajashuka na kama hoja yake ina mshiko basi tunaotakiwa kuomba radhi ni sisi wote tuliokuwa ndani ya hili gari na wala si gari.
 
Watu naona wanaitikia kwa haraka sana bila kutulia chini na kusoma hasa nimesema nini.

Inawezekana. Lakini pia kuna uwezekano mkubwa post yako uliiandika kwa kuusikiliza zaidi moyo badala ya ubongo.
Hii hali inatokea kwa watu wengi, hususani wanapokumbwa na frustration kama wewe mwenyewe unavyoonyeshwa kuwa frustrated, and rightly so, with the unfolding drama within Chadema.

So I fully understand the way you are feeling......but take a wee easy with Chadema. I personally wd not ask them to apologize...dont think they did anyone wrong vs those thugs in the corridors of power who are raping our resources at will. Basis this simple comparison, Chadema would appear to be "saintier" (au sijui tuite "more saintlish") - nisaidieni kimombo mnaojua vizuri.

So Mzee, just sit back and contemplate a bit more objectively. Consult that thing between your ears (and I know u hv one of the best if not the best around) more critically.
 
Ndugu zangu hivi mlitaka katika mazingira haya CDM wafanye nini mbadala ndio tuwaone kuwa ni wapiganaji kweli kweli??

Yaani sisi waswahili kwa kweli tumeshindikana, hatusaidiki, hatueleweki, hatutabiriki & hatubebeki hata kwa fuso!

Ama kweli MIAFRIKA NDIO TULIVYO!!!
 
With all due respect to Mkjj na wale wanaokubaliana na hoja ya thread hii, ninachoona ni kama hasira/jazba inayowapata mashabiki (au manazi kabisa) wanaoona fowadi wa timu yao keshawatoka mabeki wa timu pinzani na kubakia na golikipa lakini badala ya kutingisha nyavu anageuka nyuma na kupiga mpira nje pembeni! Kama kweli wana taarifa za ndani zinazowathibitishia kuwa Chadema hivi sasa imepoteza mwelekeo na kuchanganyikiwa kiasi cha kutokuwa na mpangilio (method) labda; kitu ambacho siamini. Aidha, katika siasa za ushindani kuomba radhi ni makakati mbovu kabisa ambao haukubaliki. Ili iweje?

Tunajua undani wa masahibu yanayowapata Chadema hivi sasa? Kwanza, baada ya kampeni ya kihuni ya kuwaabambikia udini (ukatoliki), ukabila, undugunaizesheni, utovu wa nidhamu, umwagaji damu, n.k. watanzania wengi bado wako tayari kuwaunga mkono (all the way) katika mapambano ya kuleta mabadiliko? Haya, ndani ya chama chenyewe hakuna asiyejua vita iliyomo ya kutoelewana kwenye masuala ya msingi ambayo kama hawajayaweka sawa hawana namna ya kusonga mbele kwa uhakika. Sasa kama wamechambua hali na kuona ulazima wa kurudi nyuma kidogo ili kuondoa taka na kujiimarisha ndipo waendelee kuna tatizo gani la kukera kiasi cha kuwabeza hivyo? Wote tunajua nchi yetu inavyoendeshwa kijasusi. Kusema Chadema waombe radhi ni kurahisisha mambo namna isiyoeleweka kabisa. This is Tanzania run by a sinister regime!

Kama ni kuomba radhi, kwa nini CCM hawana kabisa mpango wa kutuomba radhi kwa kutukandamiza kwenye lindi la umasikini, kuminya haki zetu za msingi, kukumbatia mfumo wa kimafia/ufisadi unaotunyanyasa katika kila fani ya maisha yetu na, sasa, kuendesha kampeni dhalimu ya kutugawa kwa udini. Wanajua hiyo kisiasa haikubaliki hata kidogo.

Nasikitika kwamba kuna watu humu wanatoa maoni yanayoonyesha dhahiri kwamba they are gleefully enjoying Chadema's woes bila kufikiria nini tunachobakia nacho. Chadema waombe radhi ili iweje (to what end)? Tubakie na mjadala mwingine usio na tija kwamba kwa nini wamefanya hivyo? Let's be constructive please!
 
Back
Top Bottom