Recent content by Mshind

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mim niko makambako shule ya msingi mlowa 3km from from town. Dk 5 kwa gari,pikipiki na bajaji dk 10 kwa baskel na dk 20 Kwa mguu, anaetaka tubadilishane wilaya yoyote dar au moro municipality aandike namba yake nimcheki, huku makambako ni full natural AC hatununui fen, vyakula bei powa!
  2. M

    Natafuta mchumba wakike atae kuwa mkewangu mda simrefu

    Mim nikijana wakiume nina elimu ya chuo kikuu, urefu 5.5ft, chokulate color, 30yrs old natafuta mchumba mkristo awe na sifa zinazo kalibiana nazangu but umlilazma awe chin ya miaka 30yrs, niko dar tabata segerea, mawasiliano jkaffiz@yahoo.com
  3. M

    I need a guy

    Mapenz matamusana ukimpata unaependana nae sana. Plz give me ur FB andress so we can see each other and contact more! or try to pm
  4. M

    Natafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimae niolewe naye

    Umesahau kuandika uzowefu kwenye sifa, awenauzowefu wa miaka mingapi?? Wewe unamiaka 28 utakuwa na uzowefu wa miakah 14 tangu ubikiriwe. Sasa miaka yote hiyo wanaume wanachakachua wanatembea hakuna wa kuowa? Pole utakuwa unakasoro!
  5. M

    Huu ndio utapeli unao endelea kwenye mitandao

    Tuwafanyeje hawa jamaa, ukiwa natamaa umeumia. Dearest One, firstly I thank you for your reaction to mine email, online with the message, which I have sent to you.How was your night over there in your country,i believe you had a nice night and that the atmosphere over there in your country...
  6. M

    Utapeli mpya unao kuja kasi mtandaoni

    Jamani angalieni huyu tapeli ananita majina ya kimahaba ili aniibie pesa, hapa haibiwi mtu. tuwafanyeje hawa watu?? My darling, Thanks allot for your email and willingness to assist me. Honey i really need you to help me transfer my late fathers money to enable me come over to you after...
  7. M

    Huu ndio utapeli unao endelea kwenye mitandao

    Nashukuru nimewasitukia mapema, hawa jamaa wajipange upya tumeisha washitukia bongo, kazi imebaki kupeana tarifa nduguzetu wengine wasiibiwe!
  8. M

    Huu ndio utapeli unao endelea kwenye mitandao

    Jaman someni email ya huyu mtu kisha toeni maoni, anataka atumiwe pesa, hapa kagonga mwamba! "Dearest One, firstly I thank you for your reaction to mine email, online with the message, which I have sent to you.How was your night over there in your country,i believe you had a nice night and...
  9. M

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Hivi haka kajoseph kusaga na karuge wanajidaia kitugani?? Mungu wao ni yupi?? Wamesuluhishwa na sugu hata mwaka karibu hauja isha leo JD tena, katakuwa na matatizo sana. sasa naona kanakaribia kuexpire! na mwisho wake umefika!
  10. M

    Exclusive: Majibizano kati ya Job Ndugai na Eliasanti Bugenyi yaibua mapya!

    hii nimeipenda! but nikikumbuka hoja za ndugai hapa hakika nahisi kutapika...
  11. M

    Kesi za epa-wafanyakzi wa bot jela miaka 5

    Du! hao si sawa na wasogeza mafail mezan messengers, ndowanao fungwa, watia saini na pesa mfukoni kitaani! duuu
  12. M

    Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo

    Kama wakongo wote ni mafisadi kama mobutu tseseko, si bora watawaliwe na foreigner but wapate maendeleo! wakongo zao starehe kwenda mbele ndo maana wengi wako paris ufaransa jiji lenye raha tele dunian, but still uzushi kabila ni mkongo, ila wamarekani wanataka madini pale kongo kabila hataki...
  13. M

    Magari ya Rizwan

    Utajiri kautoa kwenye kodi yako ya kibiriti na chunvi unavyo tumia kilasiku pamoja na kodi nyingine zote unazozijua wewe za hapa Tanzania. a corrupt ruling part of CCM will never leave power in the country unless through people revolution(peoples power as it was in Egypt or by military...
  14. M

    Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    Arudi kongo kwao haraka sana, kabla hatuja muekea mtego na kumdumbukiza mabwepande!
  15. M

    Usindikaji wa mvinyo au (WINE)

    Nenda kioo ltd chang'ombe industrial area, jam jar botles wanauza kwanzia carton50, chupa yako yoyote unayo taka kutengenezewa wanaanza na idadi ya chupa zisizo pungua million mbili malipo advance robotatu ya garama kisha badae unamalizia, mifuniko utapata SIDO nyerere road. kazi kwako!
Back
Top Bottom