Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

Nina shida gani ya kumchafua mtu kama yupo safi ? unataka upewe nini ili uamini ?

soma maelezo ya wachangiaji wengine ili upate picha halisi.na kama unataka ushahidi tuma address yako utatumiwa ushahidi ili uchambue pumba zipi na mchele upi !
 
vita yupo sawa, akili ya mgonjwa si ya mzima. Mgonjwa keshafika hospitali kwamba abadilishe hospital na pengne kenda kwa tabu au kazidiwa ni ngumu, inambidi akubali.
Kama anataka kutongoza asubiri muda wa kazi uishe akatafute wanawake mitaani
 
Last edited by a moderator:
Jiulizeni hivi; Utamuaminije daktari uliyemnyima penzi akuhudumie? La sivyo unalazimika kuhama hospital ili uwe na Amani,au imani na huduma ya tatizo lako.So kwa nin atufanye tulazimike kutafuta hospital zingne za kwenda kisa ujinga wa mtu mmoja ambae tunaweza kumlekebisha.HILI NDIYO LILILOMFANYA MTOA MADA AANDIKE UZI WAKE.Ki ukweli sio tabia nzuri kutumia matatizo ya wagonjwa kujinufaisha kingono.Akemewe tena baada ya kufanyiwa Set up.SIO KWELI KILA WAFANYAO WAMEELEWANA KUNA UWEZEKANO WA SHINIKIZO LISABABISHWALO NA DOKTA KUJUA TATIZO LANGU.Jaribun kutafakari hili jambo kwa makini ana Mis use office.
 
Alikuwa Agakhan huyo ,kuna tetesi eti alikuwa akiangusha mzigo wa kigogo mmoja hapa nchini,mpaka kigogo akashtukia,ikawa balaa,Hawa wa congo wanamatatizo mno!
 
Hapana, hata kama wanakubali wenyewe tabia nyingine si za kuungwa
mkono, mtoa mada yuko sahihi sana au mpaka siku mkeo aleweshwe
halafu aff.... ndio mutauona ubaya wa huyo daktari? Na si mmesikia
wakati mwingine ni mabiti wadogo?
huyu ni hatari anaweza hata kuchukua vitoto vya shule kwanini tuendelee
kumuunga mkono? au na sisis ndio mambo yetu?
 
Tena ungeongeza mabinti zetu...si watoto wa shule tu.

Sielewi kabisa mtu akiunga mkono mzinzi anayetumia ofisi kama mtego.

Hapana, hata kama wanakubali wenyewe tabia nyingine si za kuungwa
mkono, mtoa mada yuko sahihi sana au mpaka siku mkeo aleweshwe
halafu aff.... ndio mutauona ubaya wa huyo daktari? Na si mmesikia
wakati mwingine ni mabiti wadogo?
huyu ni hatari anaweza hata kuchukua vitoto vya shule kwanini tuendelee
kumuunga mkono? au na sisis ndio mambo yetu?
 
Mie simlaumu kwani anawabaka?
Kwani anawalazimisha
Wanaomkubali ina maana wamependa wenyewe
Maisha kupanga ni kuchagua
 
Mie simlaumu kwani anawabaka?
Kwani anawalazimisha
Wanaomkubali ina maana wamependa wenyewe
Maisha kupanga ni kuchagua

ulishawahi kuugua au kuuguliwa aafu daktari akakuomba mzigo kwamba ukigoma hakutibu au hatibu mgonjwa wako? Tusishabikie mambo ya kipuuzi ambayo yana sheria zake badala ya kuyakomesha.
 
Yeyote anaetumia madaraka yake au nafasi aliyonayo kumtongoza mwanamke na kufanikiwa kufanya naye mapenzi kwa kutumia wadhi alionao huko ni kubaka.wale waliyofanyiwa vitendo hivyo wanaweza kwenda kulalamika polisi na mtuhumiwa atakamatwa na kuhukumiwa sawa na yule anaembaka mwanamke baada ya kumpiga ngwara.
 
Na wadada zetu kwa kuangalia kazi za watu ndio interview yao ya kutoa kiburudisho, bila shaka Dr atumii nguvu kubwa. Ila kwa taaluma ya Dr, kwa kweli kama ana ngoma ni hatari sana kwa taifa
 
kapiteni my mums dr!! ana laptops nne na zote zina-oparate at a tym! alimwambia mamangu kuwa kila ijumaa anakwea pipa kula weekend US, na hurudi j3 asubuhi kazini!! alifiwa na mkewe, ndio maana anaendekeza uzinzi! ana nurse assistant wake pale ambaye huwa ndiyo anapima pressure na ku-admit kama mgonjwa yupo suposed to b admitted, ana makucha marefuuuuu huwa najiuliza ni nurse wa aina gani yule!! ila kumbe kapiteni hamtaki nurse yeyote pale except huyo tu anapokuwa zamu!!

pamoja na haya yote, aliokoa maisha ya my mum, I WILL ALWAYS BE GRATEFUL KWAKE!!
 
ulishawahi kuugua au kuuguliwa aafu daktari akakuomba mzigo kwamba ukigoma hakutibu au hatibu mgonjwa wako? Tusishabikie mambo ya kipuuzi ambayo yana sheria zake badala ya kuyakomesha.


kwani ananitibu bure ,,hakuna sehemu za kureport juu ya hilo..?

dunia ya sasa sio mika ya 47
 
Back
Top Bottom