Na wewe kwa kuambiwa tu kuwa ni ya Rizwan umeamini kuwa ni yake kweli?Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Kijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania
Kautoa Tanzania.
Bhachu Industries ltd ni manufacturer wa hizo tanker,trailer nk in east Africa na products zao wanaziuza sie tunaemzungumzia hapa ni huyu mteja anaemiliki haya matanker ya prime fuels tunayoyaona huku mikoani(we mean mteja alonunua na anaeendelea kununua kwa wingi hizi tanker toka BIL)