Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo

Joseph Kabila Kabange (known commonly as Joseph Kabila, born June 4, 1971) is a Congolese politician who has been President of the Democratic Republic of the Congo since January 2001.

He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila. He was elected as President in 2006. In 2011, he was re-elected for a second term.

Biography

Early life and Education

Joseph Kabila Kabange was born on June 4, 1971 at Hewabora, a small village in the Fizi territory of the South Kivu province, in eastern Congo. He is the son of long time rebel, former AFDL leader and president of the Congo Laurent-Désiré Kabila and Sifa Mahanya.

Guerrilla and Army years

Following high school, Joseph Kabila followed a military curriculum in Tanzania, then at Makerere University in Uganda. In October 1996, Laurent-Désiré Kabila launched the campaign in Zaire to oust the Mobutu regime.

Joseph became the commander of the infamous army of "kadogos" (child soldiers) and played a key role in major battles on the road to Kinshasa. The liberation army received logistical and military support from regional armies from Rwanda, Uganda, Angola and Zimbabwe.

Following the AFDL's victory, and Laurent-Désiré Kabila's rise to the presidency, Joseph Kabila went on to get further training at the PLA National Defense University, in Beijing, China.

When he returned from China, Kabila was awarded the rank of Major-General, and appointed Deputy Chief of Staff of the Armed Forces of the Democratic Republic of the Congo, in 1998.

He was later, in 2000, appointed Chief of Staff of the Land Forces, a position he held until the elder President Kabila's assassination in January 2001.

As chief of staff, he was one of the main military leaders in charge of Government troops during the time of the Second Congo War (1998–2003).

Presidency

Joseph Kabila rose to the Presidency on 26 January 2001 after the assassination of Laurent-Désiré Kabila, becoming the world's first head of government born in the 1970s.

He remained the world's youngest head of government until Roosevelt Skerrit became Prime Minister of Dominica in January 2004.

At age 30, he was considered young and inexperienced. He subsequently attempted to end the ongoing civil war by negotiating peace agreements with rebel groups who were backed by Rwanda and Uganda, the same regional armies who brought Laurent-Désiré Kabila's rebel group to power 3 years before.

The 2002 peace agreement signed at the Inter-Congolese Dialogue in Sun City, South Africa, which nominally ended the Second Congo War, maintained Joseph Kabila as President and head of state of the Congo.

An interim administration was set up under him, including the leaders of the country's two main rebel groups as vice-presidents (two other vice-presidents were representatives of the civilian opposition and government supporters respectively)

On March 28, 2003, an apparent coup attempt or mutiny around the capital Kinshasa, allegedly on the part of members of the former guard of former president Mobutu Sese Seko (who had been ousted by Kabila's father in 1997 and died in the same year), failed.

On June 11, 2004, coup plotters led by Major Eric Lenge allegedly attempted to take power and announced on state radio that the transitional government was suspended, but were defeated by loyalist troops.

In December 2005, a partial referendum approved a new constitution, and a presidential election was held on July 30, 2006 (having been delayed from an earlier date in June).[6] The new constitution lowered the minimum age of presidential candidates from 35 to 30; Kabila turned 35 shortly before the election.

In March 2006, he registered as a candidate.[7] Although Kabila registered as an independent, he is the "initiator" of the People's Party for Reconstruction and Democracy (PPRD), which chose him as their candidate to the election.

Although the new constitution stipulates that a debate be held between the two remaining candidates for the presidency, no debates took place and this was declared by many as unconstitutional.

According to widely disputed provisional results announced on August 20, Kabila won 45% of the vote; his main opponent, vice-president and former rebel leader Jean-Pierre Bemba, won 20%.

The irregularities surrounding the elections results prompted [8] a run-off vote between Kabila and Bemba which was held on October 29. On November 15, the electoral commission announced the official results and Kabila was declared the winner, with 58.05% of the vote.

These results were confirmed by the Supreme Court on November 27, 2006, and Kabila was inaugurated on December 6, 2006 as the country's newly elected President. He named Antoine Gizenga, who placed third in the first round of the presidential election (and then backed Kabila in the second round) as prime minister on December 30.

In December 2011, Kabila was re-elected for a second term as president. After the results were announced on 9 December, there was violent unrest in Kinshasa and Mbuji-Mayi, where official tallies showed that a strong majority had voted for the opposition candidate Etienne Tshisekedi.

Official observers from the Carter Center reported that returns from almost 2,000 polling stations in areas where support for Tshisekedi was strong had been lost and not included in the official results. They described the election as lacking credibility.

On 20 December, Kabila was sworn in for a second term, promising to invest in infrastructure and public services. However, Tshisekedi maintained that the result of the election was illegitimate and said that he intended also to "swear himself in" as president.

In January 2012, Catholic Bishops in DR Congo also condemned the elections, complaining of "treachery, lies and terror", and calling on the election commission to correct "serious errors".

Views

In 2006, Kabila responded to evidence of widespread sex crimes committed by the Congolese military by describing the acts as "simply unforgivable". He pointed out that 300 soldiers had been convicted of sex crimes, although he added that this was not enough.

Wedding

On June 1, 2006, after many wedding rumors were fueled by many in top positions in the country, the head of the Presidential Household, Ambassador Theodore Mugalu officially announced the wedding of the President to Olive Lembe di Sita.

The wedding ceremonies took place on June 17, 2006.[17] Kabila and his spouse have a daughter, born in 2001, named Sifa after Kabila's mother.

As President Kabila is Anglican, and Ms Lembe di Sita is Catholic, the wedding ceremonies were ecumenical, and were therefore officiated by both the Catholic Archbishop of Kinshasa, Cardinal Frederic Etsou Bamungwabi, and Pierre Marini Bodho – Presiding Bishop of the Church of Christ in Congo, the umbrella church for most denominations in the Congo, known within the country simply as "The Protestant Church".

Yericko Nyerere kwani wewe ni Banyamulenge mbona unatuletea habari za kutungwa na kuungwaungwa kisanii, umezitolea mtandao gani ndugu yangu. Joseph Kabila si mtoto halisi wa mzee Laurent-Désiré Kabila, soma hapa chini na hiyo attachment ndo utaujua ukweli.

His origins :
Joseph Kabila, in his real name Hyppolite KANAMBE, was born on June 4th, 1971 of a Rwandan father on the name of Christopher KANAMBE and a Rwandan mother named Marcelline MUKAMBUKUJE. His father was an opossant to the Rwandan former president Juvénal HABYARIMANA. He met Laurent Désiré KABILA, opposant of the Zairean former president MOBUTU, in the resistance movements based in the mountains on the Rwando-Zairean border, where they fought against their common enemies MOBUTU et HABYARIMANA.
After the death of his friend Christopher Kanambe in 1977, LD Kabila married (in the traditional customs) his widow Marcelline and adopted (in the same traditional customs) her two young twin children, a girl and a boy: Jenny KANAMBE and Hyppolite KANAMBE.http://www.ukzambians.co.uk/home/2011/11/10/congo-president-joseph-kabila-hidden-origins/
 
Attachments

  • Joseph Desire Kabila.pdf
    600.6 KB · Views: 304
Dhaifu sana huyu jamaa waasi elfu 2 tu wakimpiga anaanza kulia nchi yote ile hata mishahara halipi askari wake yaani ovyo sana hyu mmtu,,,
 
Dhaifu sana huyu jamaa waasi elfu 2 tu wakimpiga anaanza kulia nchi yote ile hata mishahara halipi askari wake yaani ovyo sana hyu mmtu,,,

Wewe hujui anajifanya week kijeshi ili nchi aikabidhi kwa waliomsaidia kuingia vitani yaani Rwanda na Uganda wajilie rasilimari za Congo kiulaini.Maana haiingiii akilini eti kakikundi ka ajabu ajabu kanamsumbua wakati DRC imejaa utajiri wa kutosha yaani akiamua kuuza hata msitu mmoja akakata magogo ananunua silaha hata za kuipiga Africa lkn anajifanya week kulipa fadhira kwa Waganda na Wanyarwanda wajichotee bure mali za DRC
 
Yericko Nyerere kwani wewe ni Banyamulenge mbona unatuletea habari za kutungwa na kuungwaungwa kisanii, umezitolea mtandao gani ndugu yangu. Joseph Kabila si mtoto halisi wa mzee Laurent-Désiré Kabila, soma hapa chini na hiyo attachment ndo utaujua ukweli.

His origins :
Joseph Kabila, in his real name Hyppolite KANAMBE, was born on June 4th, 1971 of a Rwandan father on the name of Christopher KANAMBE and a Rwandan mother named Marcelline MUKAMBUKUJE. His father was an opossant to the Rwandan former president Juvénal HABYARIMANA. He met Laurent Désiré KABILA, opposant of the Zairean former president MOBUTU, in the resistance movements based in the mountains on the Rwando-Zairean border, where they fought against their common enemies MOBUTU et HABYARIMANA.
After the death of his friend Christopher Kanambe in 1977, LD Kabila married (in the traditional customs) his widow Marcelline and adopted (in the same traditional customs) her two young twin children, a girl and a boy: Jenny KANAMBE and Hyppolite KANAMBE.Congo: President JOSEPH KABILA HIDDEN ORIGINS | UKZAMBIANS

Thank you for shairing, upo sawasawa mkuu wa kazi.Naona kweli umebobea kwenye siasa za maziwa makuu na unazisoma na kuzifuatilia.Kitu imeshiba na kushibishwa kisawasawa
 
Hehee unahisi hapajatimia maksudi?

Unafikiri nini kinatakiiwa kiiongezwe mkuu? Tusaidiane shekhe wangu!

JKT Makutupora.......

Ila mkuu kuna kitu kidogo mimi ambacho katika kila sehemu niliposoma na kuuliza kwa marafiki, naomba unisaidie kama una taarifa za nini haswa kilitokea kAtika wiki ya tatu ya mwezi januari 2001( Kuanzia tarehe 20 mpaka 30) Haswa role ya 'vijana" wetu kule pamoja na Fifth Brigade wa Mugabe.Najua hawa jamaa wasingeruhusu hata kido Mzee auwawe.Damu ingemwagika kweli kweli

-Je waliamrishwa to stand down?

-Je waliamua kuangalia pembeni na kuacha waCongo waamue mambo yao wenyewe?

-Je walikua part of the plot?
 
Yericko Nyerere kwani wewe ni Banyamulenge mbona unatuletea habari za kutungwa na kuungwaungwa kisanii, umezitolea mtandao gani ndugu yangu. Joseph Kabila si mtoto halisi wa mzee Laurent-Désiré Kabila, soma hapa chini na hiyo attachment ndo utaujua ukweli.

His origins :
Joseph Kabila, in his real name Hyppolite KANAMBE, was born on June 4th, 1971 of a Rwandan father on the name of Christopher KANAMBE and a Rwandan mother named Marcelline MUKAMBUKUJE. His father was an opossant to the Rwandan former president Juvénal HABYARIMANA. He met Laurent Désiré KABILA, opposant of the Zairean former president MOBUTU, in the resistance movements based in the mountains on the Rwando-Zairean border, where they fought against their common enemies MOBUTU et HABYARIMANA.
After the death of his friend Christopher Kanambe in 1977, LD Kabila married (in the traditional customs) his widow Marcelline and adopted (in the same traditional customs) her two young twin children, a girl and a boy: Jenny KANAMBE and Hyppolite KANAMBE.http://www.ukzambians.co.uk/home/2011/11/10/congo-president-joseph-kabila-hidden-origins/

Asante sana mkuu kwa kuupanua mjadala na kuhuisha vema historia,

Historia ya mambo mengi ya afrika na hususani viongozi wa kiafrika imekuwa na mapungufu ama haieleweki ipi ni sahihi maana kila mtafiti huja na sampuli zake!

Nashukuru umekuja na sampuli muhimu na kunifanya nimjue zaidi Bwana Joseph Kabila
 
huyu kabila na kagame wanatakiwa wapigwe risasi tu, action speak more than words , Kamanda anayeongoza kikosi cha Congo alipewa cheo hicho na Kabarage ,huyu jamaa alikuwa ndio kamanda miaka ya 90 nchini congo sasa hivi ni waziri wa ulinzi wa rwanda , yeeeah waziri wa ulinzi wa rwanda ! huyu hapa- The Minister - Ministry of Defence - Republic of Rwanda , kama mkuu alivyosema hapo juu Kabila ni mnyarwanda na sio Mcongo ! , kikosi cha serikali kila kikisogea kuiondoa M23 ,makamanda wa jeshi la congo wanawaambia wanajeshi warudi nyuma na kujipanga upya ! ,juzi majeshi ya UN wameweka silaha chini na kuwaachia M23 wachukue GOMA , alafu Kabila ,Kagame na Museveni ndio wanakutana kujadili mgogoro wa Congo ! yaaani ni mchezo wa kuigiza ....
 
Hilo nalo linatuweka waafrika katika wakati mgumu sana,

Kunauwezekano mkubwa wa hilo unalolizungumza kuwa Kabila Kagame na Mseveni lao ni moja tu!
 
Wewe hujui anajifanya week kijeshi ili nchi aikabidhi kwa waliomsaidia kuingia vitani yaani Rwanda na Uganda wajilie rasilimari za Congo kiulaini.Maana haiingiii akilini eti kakikundi ka ajabu ajabu kanamsumbua wakati DRC imejaa utajiri wa kutosha yaani akiamua kuuza hata msitu mmoja akakata magogo ananunua silaha hata za kuipiga Africa lkn anajifanya week kulipa fadhira kwa Waganda na Wanyarwanda wajichotee bure mali za DRC

...dude you have no idea na hizo garbage unazotapika humu,FYI hao M23 ndio waliomuondoa Mobutu na rwanda & Uganda hawana interest na mali za wacongo wanaopigana ni Congolese wenyewe na wana madai yao,go educate yourself kabla ya kuja na conspiracy zenu za hima empire
 
JKT Makutupora.......

Ila mkuu kuna kitu kidogo mimi ambacho katika kila sehemu niliposoma na kuuliza kwa marafiki, naomba unisaidie kama una taarifa za nini haswa kilitokea kAtika wiki ya tatu ya mwezi januari 2001( Kuanzia tarehe 20 mpaka 30) Haswa role ya 'vijana" wetu kule pamoja na Fifth Brigade wa Mugabe.Najua hawa jamaa wasingeruhusu hata kido Mzee auwawe.Damu ingemwagika kweli kweli

-Je waliamrishwa to stand down?

-Je waliamua kuangalia pembeni na kuacha waCongo waamue mambo yao wenyewe?

-Je walikua part of the plot?

This's a million DOLLAR question!

Kuna mambo ya ajabu sana kuhusu suala zima la DRC inapokuja kwa Mh.Joseph - ebu anangalia picha hapa chini:

Fake_Kabila_Hippolyte-Kanem.jpg

Kushoto ni James Kabarebe, Kulia ni Joseph Kabila walipo kuwa vijana:

J.Kabarebe ni Waziri wa Ulizi wa Rwanda na wanasema ni mjomba wake J.Kabila!!!

thumbnail.php

Mh. J.Kabarebe anavyo onekana ukubwani-hajabaridika sana.

Yaani mtu unashindwa kuelewa kinacho endelea ni nini hapa - michezo ya kuigiza au? Inaonekana wazi kwamba watu hawa wanajuana vizuri sana wana hadaa dunia tu.

Kama mambo yenyewe ndio haya TANZANIA isitoe askali yeyote kwenda eti kulinda AMANI.

Jaribu kusoma link hii, utabaki unajikuna kichwa!!

Concerning the true Identity of Mr. Hippolyte Kanambe alias "Joseph Kabila"
 
JKT Makutupora.......

Ila mkuu kuna kitu kidogo mimi ambacho katika kila sehemu niliposoma na kuuliza kwa marafiki, naomba unisaidie kama una taarifa za nini haswa kilitokea kAtika wiki ya tatu ya mwezi januari 2001( Kuanzia tarehe 20 mpaka 30) Haswa role ya 'vijana" wetu kule pamoja na Fifth Brigade wa Mugabe.Najua hawa jamaa wasingeruhusu hata kido Mzee auwawe.Damu ingemwagika kweli kweli

-Je waliamrishwa to stand down?

-Je waliamua kuangalia pembeni na kuacha waCongo waamue mambo yao wenyewe?

-Je walikua part of the plot?

Unamfahamu mtu anaitwa Bizima Karaha?
 
Wewe hujui anajifanya week kijeshi ili nchi aikabidhi kwa waliomsaidia kuingia vitani yaani Rwanda na Uganda wajilie rasilimari za Congo kiulaini.Maana haiingiii akilini eti kakikundi ka ajabu ajabu kanamsumbua wakati DRC imejaa utajiri wa kutosha yaani akiamua kuuza hata msitu mmoja akakata magogo ananunua silaha hata za kuipiga Africa lkn anajifanya week kulipa fadhira kwa Waganda na Wanyarwanda wajichotee bure mali za DRC

Jamaa amechukua nchi Mwaka 2001 mpaka leo ukiangalia takwimu za Jeshi la Congo eti ana wana anga 1400 this is ridiculous!!! nchi yote ile Air defence wanakua 1400!!! kwa hiyo ni kweli pale kuna sanaa,,,nadhani suluhu ni kuigawa ile nch maana kweli huyu Kabila ni kibaraka..
 
JKT Makutupora.......

Ila mkuu kuna kitu kidogo mimi ambacho katika kila sehemu niliposoma na kuuliza kwa marafiki, naomba unisaidie kama una taarifa za nini haswa kilitokea kAtika wiki ya tatu ya mwezi januari 2001( Kuanzia tarehe 20 mpaka 30) Haswa role ya 'vijana" wetu kule pamoja na Fifth Brigade wa Mugabe.Najua hawa jamaa wasingeruhusu hata kido Mzee auwawe.Damu ingemwagika kweli kweli

-Je waliamrishwa to stand down?

-Je waliamua kuangalia pembeni na kuacha waCongo waamue mambo yao wenyewe?

-Je walikua part of the plot?

Duuuh! Ya kale kumbe bado dhahabu! Jamaa pengine atajibu hayo maswali. Ila Kabila mdogo naona maji yamezidi unga...aende kucheza kamari tu ajue moja.
 
...dude you have no idea na hizo garbage unazotapika humu,FYI hao M23 ndio waliomuondoa Mobutu na rwanda & Uganda hawana interest na mali za wacongo wanaopigana ni Congolese wenyewe na wana madai yao,go educate yourself kabla ya kuja na conspiracy zenu za hima empire

Koba bwana na wewe tukiongea Kagame unalalama, tukiongea Kabila kuwa ni Mnyarwanda unalalama sasa wewe unapingana na research za wasomi na shuhuda za watu wanaofahamu mambo. Kwa taarifa yako wewe ndo Hima empire ndo maana hutaki watu wazungumze mambo ya Hima.Hivi kuna jipya kweli mgogoro wa DRC kwenda kuzungumzwa na raid Kabila, Mseven na Kagame, mi naona wanakutana kunywa chai pamoja maana watakua wamemisiana tu bhaaaaaaasi
 
Waafrika tunapenda sana kubaguana. Waafrika wote ni ndugu zangu na sisi ni wamoja. Mnapenda sana kujifanya nyinyi ni pan africanist katika mikutano lakini kumbe ni Zero. Zambia mmempa umakamu wa raisi mzungu wala hamsemi sio mzambia au kwa sababu yeye ni ngozi nyeupe lakini wakati yupo Rupia Banda mlikuwa na maneno mengi eti sio Raia ni Raia wa Malawi na baadaye wakamzushia na Keneth Kaunda kwamba ni Mmalawi. Acheni kubaguana nyinyi watu weusi na mkiendelea hivi umaskini hautawaisha. Angalieni uwezo wa mutu kuipenda nchi na uzalendo wake katika kuiendeleza nchi. kwani unafikili aliyeifilisi kongo Mobutu alikuwa ni mtanzania .Na kama ingekuwa kwa mawazo haya yenu Obama asingepewa uraisi wa Marekani.
 
Duuuh! Ya kale kumbe bado dhahabu! Jamaa pengine atajibu hayo maswali. Ila Kabila mdogo naona maji yamezidi unga...aende kucheza kamari tu ajue moja.

Unamaanisha nini hapo kuwa ya kale ni dhahabu mkuu?
 
Mbona watu wanawajua wakina Kabila sana na wamekaa na kosoma bongo kwa muda mrefu tu. Huyu raisi ni mtoto wa kabilana niwa congo. Hata watanzania wengi wana majini ya nchi nyingine kama Kenya, Rwanda, Malawi, Zambia, Burundi, Congo n.k lakini haina maana wewe ni mkongo. Kama unataka kumpa uraia wa nchi nyingine basi itakuwa Tanzania maana amekulia karibu maisha yake yote Tanzania.

kwa kuongezea nimesoma nae sangu sec pale mbeya huyu kijana sema aliniacha kidato kama huyu jamaa hajui hilo
 
Joseph Kabila jina lake halisi anaitwa Hypolite Christofer Kanambe, raia wa Rwanda, kabila lake mtusi. Babake anaitwa Adrien Christofer Kanambe. Inakuwaje mtu ambaye si raia wa Kongo DRC kuiongoza nchi hiyo kama rais?

Kama wakongo wote ni mafisadi kama mobutu tseseko, si bora watawaliwe na foreigner but wapate maendeleo! wakongo zao starehe kwenda mbele ndo maana wengi wako paris ufaransa jiji lenye raha tele dunian, but still uzushi kabila ni mkongo, ila wamarekani wanataka madini pale kongo kabila hataki kuwaachia so wanatumia M23 na Rwanda
 
Back
Top Bottom