I need a guy

Nipo mm nna sifa zote ulizotaja ila nna geloflendi tunaweza jumuika.
 
U don't need a guy, u need an angel with those criteria.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Am a single girl searching for a guy ambaye anajielewa, mrefu, msafi, well educated, mwenye ambitions, pia awe mkristo. awe na umri btn 28 en 32.

mimi ni mkristo alieanguka dhambini mara nyingi, nina miaka 27 nina elimu ya darasa la saba, msafi wa mwili ila mchafu wa kiroho, kazi yangu ni shoe shine. nina wish wewe uje uwe mke wangu labda Mungu amekutumia wewe uje kubadilisha maisha yangu ya kiroho
 
Yaan mshukuru Mungu wako umenipata, nina 28 yrs, elimu n stashahada ya umahiri na hapa natoka church. Km uko interested nipm.
 
Unaware mkristo ah anemia hip dining news kiwi mkristo laking Anissa silijui.Naweza kiwi mwislam laking namesakes Mzungu via mama wewe.Sowhats your point,is it a religion or the follower?
 
wewe ni mhuni tu kama wahuni wengine sema wewe umeendelea hadi mitandaoni
eti anajielewa huko uliko umekosa ndio uje hapa karibu kawa watafutac mume wa mtu au jitu lililoshindikana utayapata humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom