Research ni kwa mazingira ya USA
Bongo mtu anakuwa senior baada ya kufanyakazi just miaka 3 wakati USA hata sio intermediate is still Junior.
Ingawa kuna baadhi ya point ziko valid kwote mfano kuna baadhi ya fani za engineering you dont need masters degree in a job market badala yake...
Kama wewe mwazisha thread huwezi neno ""NENO"umeandika "NEO"...yale yale asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe....
Acheni mambo ya ajabu umepost kwenye jukwaa la Siasa bora uke post kwenye jukwaa la viroja tungechangia kwa misingi ya viroja na utani.Hapa discuss substance ya alichosema
You need to be result oriented to make development.
You need to do not try
You need to delivery well according to the strategic plan..sio kuishia kusema serikali ina mipango mikakati kadha wa kadha kama tunavyosikia bungeni na kwenye majukwaa kila siku or chep popularity through the...
Siko London niko USA....
Kama jamaa livyokwambia hapo Tafuta network ya watu hapo London angalau wakusaidie accomodation unaweza kuchemsha kazi unawezausipate mapema ingawa uzuri wa miji mikubwa kazi zisizo rasmi hazikosekani ni wwkuchangamuka na kutokuwa na noma ....anyway wasiliana na wabeba...
Ugumu wa kitu ni ugumu wa ww kukielewa nothing more nothing less.
With that been said,PGM is not for you ,you can not easily understand...but for other people it might be just simple as they find it.
Mmezoea semina za siku zima mtua anaongea masaa ...pangilia unachosema in 5min pitch ni muda wa kutosha sana ili kila mmoja aongee ukizingatia kila mmoja ana influence tofauti kwa watu.
Si mnaona waoenda kuongeana wazee a dar es salaam masaa mengi point zakutafuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.