Hivi kuna kombi ngumu kama pgm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Machozi ya Simba, Jun 1, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Sikumbuki hayo mambo tena!
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hakuna!
   
 4. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Inaitwa kutafuta hela ukiifikia utajua ugumu wake.
   
 5. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  kombi smart kabisa, nilipata A ya physics B ya geography na A ya Maths, sasa sijui ugumu upi, ugumu uko kichwani mwako, na uvivu juu, lazima iwe jiwe.
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  PCB ni mwisho wa matatizo.
   
 7. N

  Nyasiro Verified User

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 8. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ugumu wa kitu ni ugumu wa ww kukielewa nothing more nothing less.

  With that been said,PGM is not for you ,you can not easily understand...but for other people it might be just simple as they find it.
   
 9. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 837
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Physics nilipata A, Geography nilipata A, BAM nilipata A......ILA NIMEGUNDUA KOMBI NGUMU NI 'MAISHA'...!
   
 10. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  P G M. Hii ina maanisha
  Pilot Gani Mbongo ...? Soma hkl uwe fsad bana. Wengne tunaiiata PAGUMU
   
 11. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu kigumu just follow your excellence success will chase you wherever u are!
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  MiMi NIMEUA 6 MWAKA HUU NA NILIPIGA PGM PIA NILITOKA NA UFAULU MZURI SANA SHULE NZIMA KULIKO COMBINATION ZINGINE ZA SCIENCE NA ART, SO JUA KUA UGUMU WA COMBINATION NI WEWE MWENYEWE KUDHEMBEA MASOMO.PIGA MSULI WA KUTOSHA UTAFAURU TU KUJANA
   
 13. D

  Derimto JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwani marubani wetu tulio nao walisoma kombi gani au unataka kutuchanganya hapa kwa sababu wewe umechukua hiyo na kwa taarifa yako kama unaona wewe mjanja sana kwa kuchukua kombi hiyo! umekosea maana soko la ajira ni msala mtupu
   
 14. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  duh we jembe aisee mpaka bam ukala banda necta
   
 15. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kijana yuko ryt,combo gumu hilo pamoja na PCB,mcseme 2 kwamba mbona wa2 wanapata A،s,hata hayo mahela na maisha mnayosema ni magumu kuna wa2 kibao wanaenjoy sana 2 na mamilioni,hilo halibadili ugumu wake
   
 16. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamaaaa liongo hili hahahahahha!
  Pure anaita BAM wewe ulisoma za kike tuu kubali mkuu!
   
 17. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msanii tu huyu mkuu hakuna bam kwenye PGM
   
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  First of cjawai ona m2 ana A ya bam necta,duh jamaa cjui alipataje. Ohh Nd dat too.
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Hakuna kombi ngumu na kombi rahisi duniani. Ugumu au urahisi ni juu ya kichwa chako. Mimi kipindi nasoma PGM tulikuwa tunataniwa PAGUMU. Cha ajabu waliokuwa wanatuita PAGUMU ndio walifeli halafu mimi nikafaulu. Long live PGM.
  .
  "LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
   
 20. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi kuna rafiki yangu anapenda hesabu mbaya, anasema hawezi soma kitu ingine, kapiga masters ya mathematical modelling na ana mpanga wa kufanya phd, lakin mi najua ww umepata efu form fo, na hesabu hutaki tena kuiona.

  so ugumu ni ww na kichwa chako tu! kila kitu ni rahisi kama ilivyo kwa PGM
   
Loading...