mzee lyandi
Member
- Apr 24, 2012
- 8
- 0
siamini kama mahakama yaweza kuwa suluhisho zaidi ya kuendeleza ngonjera. hapa tuungano sote kama ndugu kuwaombea ndugu zetu waliolazwa hospitaali wapate ahueni.
Mi mwenyewe nagoma, kesho siendi kibaruani na nipo on call na hata kama nikienda sikugusi mgonjwa
Wala hakuna Keko au babake na Keko, wakati wanahangaika Muhimbili na kwingineko mahakama zilikuwa wapi? Tatizo la TZ hatuna kigezo cha mshahara, watu darasa la 7 (eti wabunge wakiingia tu wanaanza na 90,000,000/=) kama gratuity ya kununua magari, halafu msomi aliyekaa shuleni kwa miaka zaidi ya 23 anaambiwa atapewa laki tatu wapi na wapi na nani atakubali? Nchi hii inahitaji akina Hiter ili tuongeze bidii ya kazi na tuogope wizi wa waziwaziKwa watakaogoma kesho msije laumu kujikuta mko keko na wengine rumande kwenye mikoa yenuu gomeni muone nguvu ya dola amri ya mahakama iheshimuni tasafalini
Naona kuna watu kesi za kusababisha vifo zinawanyemelea, waendelee tu.
Nipo kazini hapa hakuna oxygen mgonjwa aliihitaji sana iokoe maisha yake, nani kasababisha Kifo hapo? Hakuna pesa ya kununua mtungi hata mmoja tu hospitali nzima ya wilaya? Tafakari mkuu.... Siku ukileta mwanao hapa akatutoka kisa hakuna vitendea kazi ndo utajua nini tunamaanisha
Nimejaribu kufuatilia mchango wako humu, hadi unatia huruma!! Hivi unalipwa shilingi ngapi kwa kushindia Jamii forum kutwa kucha?? Hiyo ndiyo ajira yako ee??Kwanini usinunuwe wewe mtungi wa gesi kwa fedha unazopata kutoka hospitali za private, kama kweli una nia ya kuokoa maisha? ambazo kuna uwezekano mkubwa kuwa hata kodi huzilipii.
Madaktari tanzania hawana UTU, wanatazama maslahi binafsi.
Mimi mwenyewe nimeila muda si mrefu
lol................Kwa udhaifu wa selikali hii tunakoelekea naona na mahakama nazo zitagomewa, selikali ikisha tumia mahakama inabwateka kama vile tatizo limeisha. Angalia zengwe la waalimu tangu waende mahakamani na mukoba kurushiwa viatu hadi sasa tatizo lipo!