Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

huree bayern

Mtabiri Juha wewe !!!!!!!!!!!!!!
siku ilipowadia ulitakiwa usubiri matokeo
Ati 3-1

Ila sishangahi kna Juha mwezako mwezako aliweka dau kwenye special Olympic ile olympic ya vijana wenye special need(matahira)..sijuhi alikuwa ana guarantee gani

Asante Maalim kwa kuniita Juha eti kwa sababu utabiri wangu haujatimia,ndio maana ya kutabiri nisingeweza kusubiri matokeo ndio nitabiri.naamini wewe si mgeni katika soka,mimi ni shabiki mkubwa saaana wa liverpool na mfuatiliaji mzuri tu wa kandanda duniani.ukihitaji kubadilishana mawazo na shabiki juha kama mimi unakaribishwa saa yoyote.
 
Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich kuvunja mwiko huu hasa ukizingatia nina amini watawatoa Real Madrid katika nusu fainali.Endapo Barcelona wataingia fainali basi nao watakuwa wanataka kuvunja mwiko mwingine wa kulitetea kombe hilo,ila naamini Bayern Munich ndio watakaoibuka kidedea..kwangu kikwazo cha Munich kuchukua klabu bingwa ulaya ni Madrid..Naelewa uwezo wa timu nyingine mbili Chelsea na Barca ila nawapa Bayern nafasi zaidi

Mwaka fainali Bingwa
2012 Munich ?
2011 Wembley Barcelona
2010 Madrid Inter Milan
2009 Rome Barcelona
2008 Moscow Man Utd
2007 Athens AC Milan
2006 France Barcelona
2005 Instabul Liverpool
..........................................
..........................................

Hatimaye siku imewadia,nabashiri Bayern Munich 3 Chelsea 1

You must be Poyoyo
 
Niumbuke kwa kutabiri? unafikiri wakati naandika sikujua mpira una matokeo matatu draw,kushinda au kufungwa? ina maana wote waliotabiri na haikuwa sahihi mpaka walio bet wameumbuka? unajua maana ya kutabiri? Jipange wewe

mapovu yote ya nini asiyekubali kushidwa c mshindan we bila shaka ni arsenal umekalia ubishi.poor utabiri
 
BAK huu ni utabiri wa kisoka unao base kwa kuangalia kiwango cha soka au form ya timu husika,usiufananishe na ule wa kutumia nguvu za majini..mara ooh mwezi ujao kiongozi mkubwa anakufa!

mwaka 2005 uefa chelsea iliitoa bayern kwa jumla ya goli 6-5 bila penati hapo. Sio kila mwenye kitambi ni boss hata wanawake nw a day wanavyo c vya mimba
 
ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria bayern munich kuvunja mwiko huu hasa ukizingatia nina amini watawatoa real madrid katika nusu fainali.endapo barcelona wataingia fainali basi nao watakuwa wanataka kuvunja mwiko mwingine wa kulitetea kombe hilo,ila naamini bayern munich ndio watakaoibuka kidedea..kwangu kikwazo cha munich kuchukua klabu bingwa ulaya ni madrid..naelewa uwezo wa timu nyingine mbili chelsea na barca ila nawapa bayern nafasi zaidi

mwaka fainali bingwa
2012 munich ?
2011 wembley barcelona
2010 madrid inter milan
2009 rome barcelona
2008 moscow man utd
2007 athens ac milan
2006 france barcelona
2005 instabul liverpool
..........................................
..........................................

Hatimaye siku imewadia,nabashiri bayern munich 3 chelsea 1

sema shekh yahaya. Matokeo umeyaona?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom