J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.
 
Milioni 258 safari ya Brazil ya siku 10........
Kwa siku wanatumia milioni 28!!!!!!!!!!!!

Daaah, jasho langu wamekula hawa bureeee.... Nalipa kodi hawa wanaponda raha!!!!!! Nitagombea ubunge 2015!!
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Hizo hela hazitufikiii walengwa vijijini.......

Wanagawana hao hao akina JK kupitia miradi yao ya kilimo........

Zinduka wew!!!
huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.
 
huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.

Unasikitisha kushabikia uombaomba ..mbona infrastructure hazionekani
 
We unayezungumza maneno haya unaish vijijin au mjini???
huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.

we unadhan 2015 ni mbali,,tuombe uhai na pia tutakutafuta hapa Igwana
 
Tuniulize marais wangapi hawatoki nchini mwao na wanajiendesha vzr? Sio omba omba kama sisi
 
huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.

Mkuu hayo mambo ya 'kulisha EA yote' ni porojo. Nawashangaa sana watu kama nyie ambao hadi leo mnaishi kwenye hizo alf lele holela. Kwanza hizo ela za MCA zimeenda wapi? Najua kwa akili zako utasema zimejenga barabara, sasa mbona wakandarasi wanaidai Govt billions of cash? Mkuu punguza porojo...
 
Bandungu, msione ajabu Kikwete na mkewe wanapiga trip 3 hadi 5 nje ya nchi kila mwezi, kwani kwa mtaji huu hata mfanya biashara mkubwa Tanzania hawezi shindana nao. Maana hapo awali tulishafahamishwa kuwa mke wake Kikwete analipwa per diem sawa na Kikwete mwenyewe: $5000 kwa siku.

8 milion per day? haya bwana, wamalize uongozi watueleza tija waliyoiletea nchi kwa safari zao za kijinga
 
Mkuu naona wewe broken english inakukera sana.Kwa taarifa yako hata hao wenye lugha wana broken engl.Wewe unakijua ehh pamb..
Wanatumia si chini ya $20,000 kwa siku yeye na msafara wake kwa safari za nje, mara 3 hadi 5 kwa mwezi, halafu hakuna lolote Watanzania tunafaidika na safari zake zaidi ya kutudhalilisha na broken english yake kwenye vikao vya kisanii yeye na mke wake.
 
Kwa maana kwamba Raisi ni zaidi na pesa yake ni ya uhakika na siyo ya kuhangaikia, si ndiyo? Hoteli, Usafiri wa ndege, gari, chakula kila kitu bure, pamoja na $10,000 kwa siku bila kodi moja kwa moja mfukoni yeye na mkewe. Mfanya biashara gani anaweza kushindana na Raisi?

Mkuu JF sio sehemu ya porojo weka ushahidi wa hayo maneno yako tusije kuwa tunajadili maneno ya mitaani.
 
Hivi kuna umuhimu gani kufuatana na mkewe?

Mbona Slaa, anasafiri kwenda mikoani na mwanamke wake pamoja na mtoto wao na mfanyakazi...unaweza kutuambia wanatumia kiasi gani Slaa na familia yake wakiwa mikoani kulala kwenye hotel za kitalii.
 
Kwa maana kwamba Raisi ni zaidi na pesa yake ni ya uhakika na siyo ya kuhangaikia, si ndiyo? Hoteli, Usafiri wa ndege, gari, chakula kila kitu bure, pamoja na $10,000 kwa siku bila kodi moja kwa moja mfukoni yeye na mkewe. Mfanya biashara gani anaweza kushindana na Raisi?
Ina maana urais tz ni kama kula kulala?
 
Sasa kwanini wanashindwa kuwalipia wanao wawili walio hudhuria vyuo vikuu vya Madafu tuition fees?

1. Rizwan - UDSM - Mlimani 1st Degree Law
2. Rizwan sister - Muhimbili 1st Doctor's Degree
nngu007 huo sio mfano wa kuigwa?
 
Last edited by a moderator:
Bandungu, msione ajabu Kikwete na mkewe wanapiga trip 3 hadi 5 nje ya nchi kila mwezi, kwani kwa mtaji huu hata mfanya biashara mkubwa Tanzania hawezi shindana nao. Maana hapo awali tulishafahamishwa kuwa mke wake Kikwete analipwa per diem sawa na Kikwete mwenyewe: $5000 kwa siku.

Mkuu hiyo inawezekana ama haiwezekani. Jambo moja tu ushahidi basi. Na nina hakika kama kiasi hicho kinalipwa basi kitakuwa kimeandikwa mahala manake serikali haifanyi kazi bila maandiko.
 
Sasa kwanini wanashindwa kuwalipia wanao wawili walio hudhuria vyuo vikuu vya Madafu tuition fees?

1. Rizwan - UDSM - Mlimani 1st Degree Law
2. Rizwan sister - Muhimbili 1st Doctor's Degree

Wamefanya na wanafanya hivyo purposely ili kuwahadaa wadanganyika vizuri lkn kiukweli hawana tofauti yoyote ile na yale makundi ya wauza unga kule Mexico! Lkn wakae wakijua kuwa kila lenye mwanzo halikosi mwisho!
 
Lete ushahidi mkuu na siyo maneno matupu.
Hivi mkuu seriously kabisa hiyo attachment (excel iliyobadilishwa kuwa Pdf) uliyotuwekea nayo unaiita ushahidi? Ingeweza kuwa na nguvu kama ingekuwa ni scanned document na pia iwe na angalau nembo ya serikali/idara iliyohusika kuiandaa. Short of that, hata wewe hakuna 'ushahidi' credible uliouleta!
 
Hamna per diem ya USD 10,000.
Labda useme costs za msafara wote kwa siku.
 
Igwana
, acha fikira za kitoto kama hizo, eti "...by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki" sisi wenyewe tu bado haijajulikana ni lini tutajitosheleza kwa chakula kitu kinachopelekea kupanda kwa bei ya vyakula nchini kila kukicha halfu unaongea uozo kama huo! Kilimo Kwanza yenyewe hapo ilipo ni usanii mtupu Igwana hebu jaribu kushirikisha ubongo wako kabla hujaposti vituko vyako hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom