Graduate studies/programs zisizolipa kabisa hizi hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Graduate studies/programs zisizolipa kabisa hizi hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndyoko, Jun 16, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,174
  Likes Received: 10,515
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe hiyo tafiti imefanyika huko Marekani unakuja kuleta hapa Tanzania wapi na wapi bandugu?
  Tedo dislike this.
   
 3. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hiyo research imefanyika USA hii ni kutokana na job market ambayo iko huko but Africa bado tunawahitaji sana vijana wanaosomea fan hizo hapa nchini kwetu.
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Umaskini wetu unatulazimisha tusome kwanza tusichopenda 2 utapata mkopo kozi zisizo na mikopo zitabaki kuwa mali ya walionacho. ccm inaua taaluma na watu bado wanaipa sapoti kweni nimeamini Elimu ya Mjinga ni MAJUNGU
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hazilipi Marekani lakini bongo kazi mtindo mmoja
   
 6. Upcoming

  Upcoming Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Watu kama hao Tz bado wanahitajika sana:(:)
   
 7. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Research ni kwa mazingira ya USA

  Bongo mtu anakuwa senior baada ya kufanyakazi just miaka 3 wakati USA hata sio intermediate is still Junior.

  Ingawa kuna baadhi ya point ziko valid kwote mfano kuna baadhi ya fani za engineering you dont need masters degree in a job market badala yake experience ndio inyotakiwa further degree only if you want to be academician
   
Loading...