Recent content by mpuguso

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Mi sio mdau sana wa politics ila ni observer mzuri wa mambo yanavyokwenda: Hapa kuna mambo mawili (2): (i) ushindi kiduchu wa JK umesababishwa na secretariet/cc ya CCM au (ii) Utendaji mbovu usioleta matumaini wa Serekali from 2005 - 2010 na from 2010 up to now? Ki ukweli uchaguzi ulifanyika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje?

    Duh hapo mm sio mtaalam wa sheria ila nadhani haihitaji akili nyingi kujua kwamba hakuna sheria inayolazimisha watu kuendelea na uchumba. Navyochukulia mm uchumba ni kama urafiki tu kwa hiyo kama kabadilisha mawazo kubali matokeo tu kwamba ni tatu bila then start afresh. Sidhani kama kuna sheria...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    matusi hayafai jamani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

    Nimeipenda hii sentensi, ila bado mkapa alikuwa kichwa kwa uelewa wangu mdogo tu naweza sema hivyo (kujua tu kwamba Balali alikuwa mtaalam na kumwacha afanye kazi zake mpaka mfumuko wa bei ukashuka inatosha kuonyesha Mkapa alikuwa makini) Ila binafsi bado nakumbuka nakumbuka comments za mzee...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Za kuambiwa changanya na zako!!!!!!!!! ahahahahaahah, Mbaiwayu hiyoooo. Najaribu kufuatilia nicknames za viongozi wetu wastaafu mwalimu aliitwa Mchonga meno Mzee mwinyi aliitwa Ruksa Mkapa aliitwa ukapa Mzee Jakaya na guess ataitwa Mbaiwayu! ahaha its fun!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nilinyanyaswa na wauguzi wakati wa kujifungua: Salma Kikwete

    oooh its a good experience from first lady, this signals we have a long way to go to improve our health services. Still we need to re-plan/implement our strategies. Tusicheze na afya jamani!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanga Kunani

    ahahaah Duh hatari kabisa hii!. Hiyo usinga mzee naogopa nilipanga kukaa 2 weeks sasa i have to re schedule ili 1week. ahahaha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    aahahah, kazi ipo hapo, kwa mifumo ya uchezaji ya Jose Ronaldo hana option zaidi ya kujifunza kukaba. Ila sasa itabidi Madrid wasahau entertaining football kipindi chote ambacho Jose atakuwa nao. Pia nakumbuka Fabio Capello aliwapa madrid ubingwa still akapoteza kazi Real Madrid kutokana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania JE RAlS WETU ANAROGWA?

    Imani potofu
  10. M

    JamiiForums Tanzania The Perfect First Date

    Tell us your experience first, then we can contribute!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Raisi Kikwete.....!!

    Nchi sasa inaendeshwa kienyeji (Kitine,2009)
  12. M

    JamiiForums Tanzania Soko la dada zetu wa usiku lavamiwa.

    Duh we ni kiboko, ila safi sana kuna watu hawatembelei sehemu hizi kumbe wake zao wanaenda shift za usiku sehemu hizo. mzee umelala tu nyumbani ukijifanya una maadili. Ni vizuri kutembelea japo ku observe tu na kuburudisha macho inatosha alafu unarudi kwa mkeo nyumbani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanga Kunani

    Naja kutalii yakhe usiwe na shaka ila totoz nshaghairi sizitaki kabisa, mi naja fanya utalii wa ndani pale kwenye mapango.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanga Kunani

    Yes thanks i get it! Via link below. Tanga is one of the very important northerly seaport of Tanzania, it
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanga Kunani

    ooh sorry i mean. Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi Tanga unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
Back
Top Bottom