Tanga Kunani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga Kunani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mpuguso, May 17, 2010.

 1. m

  mpuguso Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Iko Kazi..
   
 3. m

  mpuguso Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ooh sorry i mean.

  Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi Tanga unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ingia ukagoogle; utazipata kibao!
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  usisahau kutumia Condom!:angry:
   
 6. m

  mpuguso Member

  #6
  May 24, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Where to stay
  Panori hotel, a small hotel near the yacht club and beach situated in a quiet and peaceful area. All rooms have air conditioning, colour TV, mosquito nets and clean bathrooms. It has a restaurant and bar. (Tshs. 30,000 per night). Shuniz Inn is situated in town at Ngamiani, near the Tanga bus stand. It is comfortable, with single and double beds and clean toilets (tshs. 10000 per night). Other accommodations Mkonge hotel (Tshs. 30,000 per night), Dolphin hotel (Tshs. 20000 per night), Ocean Breeze hotel (Tshs. 10,000 per night), Pentagon hotel (Tshs. 8,000 per night), Maua hotel (Tshs. 10,000 per night), Nyinda Executive (Tshs. 15,000 per night).
  Where to eat
  Dolphin Inn located in Chuda area offers various Swahili food for Tshs. 2,000 per person. Shuniz Inn restaurant is located in the town centre and offers various Swahili food such as Ugali, rice, roast meat and vegetables, chicken and chips for Tshs. 2,000. City restaurant is also located in the city centre and offers local and continental meals for Tshs. 3,000

  Disco nenda pale Club Ls Casa Chica ila kuna kina BOFLO kibao kuliko mademu ka uko Garage club au Bwawani hotel Zenji vile
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yote tisa kumi waweza malizia kujirusha Ibiza club... Karibu sana Tanga atiiii

  IMG_2923.jpg IMG_2921.jpg
   
 9. m

  mpuguso Member

  #9
  May 24, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naja kutalii yakhe usiwe na shaka ila totoz nshaghairi sizitaki kabisa, mi naja fanya utalii wa ndani pale kwenye mapango.
   
 10. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jaribu panori kama haijashuka kiwango
   
 11. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli kuna haja ya kumtaka radhi boflo,
   
 12. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,023
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kwa mapenzi na mapenzi;
  Mie naenda Tangaa;
  Wanawake wa kitanga, ukichenza utatangatanga;
  Hata maji ya ya kuoga, huchanganywa na iliki na mdalasini wa waridi;
  Kama huamini eee, nenda Maombasa au Unguja.

  By CHEZIMBA BAND
   
 13. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  hizo accomodation rates za mfukunyuzi ni outdated. kama ulizi-google basi ni za muda mrefu uliopita though places ni sawa. I like ile ya pale Ngamiani na Dolphin maana huwa nawafanyia bookings wageni wangu so often. Pia kuna kiwanja kingine cha kistaarabu chaitwa Tanga Beach Resort kipo Sahare. Kuhusu totoz, hapa kwetu umefika though I dont entertain in in this era of HIV/AIDS. I have to Ambono caves thrice-so amazing!! You wont regret your time for sure.
   
 14. masharubu

  masharubu Senior Member

  #14
  May 26, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pia usisahau kwenda pangani mji wa kihistoria na beach za kuvutia kama MKOMA, PEPONI, USHONGO NK.
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Ole wako,usijejikuta asubuhi upo juu ya mnazi na hujui umefikaje.
  2.Na usipoangalia ukavamia wake za watu...ile kitu wanaitaaaa,usinga kama sikosei itakuwa halali yako.
  3.Sidhani kama utarudi kwenu ukikutana na mdigo original,
   
 16. m

  mpuguso Member

  #16
  May 27, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ahahaah Duh hatari kabisa hii!. Hiyo usinga mzee naogopa nilipanga kukaa 2 weeks sasa i have to re schedule ili 1week. ahahaha
   
 17. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Umesahau viwanja vyenye mademu vya Madrid (expensive-arabs, somali, hindi etc) and bacelona ( african ila wana vyonga poa) hapo barabara ya nne, kabla hujaenda pitia pale mkwakwani karibu na scandinavia office upate supu ya pweza kidogo.
   
 18. I

  Isekuu Member

  #18
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanga mbona place kibao tu! we njoo na barabara ya pangani kuna hotel nzuri yaitwa pepon eneo la kigombe utapepewa! Kuna beach nzuri wazungu na wabo ngo wote wajichanganya tu ila uwe na partner wako usije kudakwa na mashoda wa tanga utasahau ulikotoka.
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Nilifika Tanga mara ya mwisho 2005.
  Mji unazidi kuchoka na sitoshangaa kusikia kusikia imekuwa ghost town
   
Loading...