Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Gagurito, Mar 15, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wanasheria nisaidieni ktk hili. Kuna Binti aliniahidi kuwa mke wangu, kwamba tutaoana. Ktk kipindi cha miaka minne nimekuwa nae km mchumba leo ananijia na kunikana, kumbuka kanipotezea muda wangu, alinipa ahadi feki ilioshindwa kutimizwa. Nishaurini nifanyaje ndugu zangu wataalamu wa sheria!
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  sh! sh! sh!!!!! ... usiseme, kwa sheria kama hiyo wengi tutajikuta matatani!!
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu bahati mbaya saana sheria haijui uchumba mkuu! kwani uliiingia naye mkataba? kama hakuna mkataba mzee imekula kwako hata hivyo mkuu mapenzi hayalazimishwi mwache aende zake!
   
 4. m

  mpuguso Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh hapo mm sio mtaalam wa sheria ila nadhani haihitaji akili nyingi kujua kwamba hakuna sheria inayolazimisha watu kuendelea na uchumba. Navyochukulia mm uchumba ni kama urafiki tu kwa hiyo kama kabadilisha mawazo kubali matokeo tu kwamba ni tatu bila then start afresh. Sidhani kama kuna sheria hapo
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,442
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Nenda loliondo ukapate maji ya kumrudisha...mwenyeeeeeweeeeeeeeeeeee anakutafuta huyo
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Niliudhuria semina moja ya kisheria, mwanasheria fulani akadai kuwa ushahidi wa hata zile msg za kimapenzi zinatosha kumpandisha mpenz wako aliyekuahidi uchumba akavunja kizimbani, alikuwa anasisitizia kwa wale dada zetu zaidi, so kwangu mimi kidume inakuwaje?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,442
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  huku wanakudanganya akuna sehria kama hizo nenda loliondo bana achana na sheria feki
  laki moja ndoa HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
 8. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  LAW OF MARRIAGE ACT 1971
  69.-(l) A suit may be brought for damages for the breach of a
  promise of marriage made in Tanganyika whether the breach occurred
  in Tanganyika or elsewhere, by the aggrieved party or, where that party
  is below the age of eighteen years, by his or her parent or guardian:

  Provided that-
  (a) no suit shall be brought against a party who, at the time of the
  promise, was below the age of eighteen years;
  (b) no damages shall be awarded in any such action in excess of loss
  actually suffered as a result of expenditure incurred as a direct
  result of the promise.
  (2) A suit may similarly be brought in respect of the breach of a
  promise of marriage made in any other country but only if such an
  action would lie under the law of that country as well as under this
  Act.
  (3) No suit shall be brought for specific performance of a promise of marriage.
   
 9. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka it is understandable kuwa una uchungu kutokana na jambo hili. Sifahamu sheria inasemaje, lakini nafikiri kuingia kwenye hii process itazidi kukuchosha na kukuconfuse bure. Kama unataka kuendeleza uchumba huu, hii sio strategy sahihi. Jaribu kuzungumza naye na kushirikisha wazee waliohusika katika process ya kufunga uchumba. La, kama humtaki tena, basi msamehe kwa yote na uendelee na maisha yako. Wahenga walisema "Likuepukalo huna kheri nalo". Mshukuru Mungu kwa yote.
   
 10. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kaka, nothing happens for nothing! Hadi afikie huko uje kuna kitu. Heshimu mawazo yake na achana naye. I short, potezea. Hata kama ukishitaki, mahakama haiwezi kurudisha akupende kama zamani. Sana sana mnaweza mwaga pumba mbele ya kuku. Mwache aende nawe kuwa na issue zako, jipe muda Mungu atakusaidia utapona. Naelewa hali uliyonayo, lakini be patient mkuu. Hawa dada zetu, wakisema sikupendi, ujue hawakupendi kweli, hasa mtu uliyekwisha kuwa naye kwa muda mrefu.
  Ushauri, Katika hili, fuata sana natural law, usitafute hizi man made laws kwani haziwezi kurudisha affection, ila sheria asilia za mapenzi, nakupenda, nakupenda, na sina sababu ya kwa nini nakupenda, bali nakupenda tu!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  MESTOD NA WENGINE WENGI: ASANTENI KWA USHAURI, Bt ukweli bado nampenda sana huyu mrembo dah!
   
 12. C

  China Vach Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mngekuwa mnaishi kama mke na mume ingwa hamja oana kwa miezi mtatu sheria in presume nyie ni mke na mume kihalali, lakini sheria hiyo hiyo hailazimishi mtu kuwa na uhusiano na mtu, hivyo basi exception za section 69 za Marriage Act of 1971 zinakufaa.
  REJEA SHERIA ZA NDOA YA MWAKA 1971
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Unaweza mdai fidia ya muda aliokupotezea ila kumlazimisha akurudie sikushauri. Kwani mlikuwa mnaishi wote? kama ndio basi presumption of marriage inaweza kuwa applied. Though inawalenga sana kina dada waliopotezewa muda wao na mwanaume halafu anataka kuingia mitini wakati waliishi wote for more than two years.
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu Leonardo nimekupata, cjawah ishinae ndan km mrs wangu bt amekuwa akija kunisabhai ghetto mara nyingi, wakati mwingine amekuwa akilala kwangu, inaniuma kunizingua, serious naumia wadau! Hiyo pressumption kwa nin iwe applied kwa kinadada tu? Kwa nin ipo biased?
   
 15. L

  Leornado JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hata wanaume pia inaaply lakini muwe mmeishi wote kwa muda wa two years. Cheki this one:


  [FONT=PalatinoLinotype,Bold][FONT=PalatinoLinotype,Bold]
  3.0 ON PRESUMPTION OF MARRIAGE
  [/FONT][/FONT]
  3.1 The idea of a presumed marriage was introduced in the LMA, 71 with
  the aim of protecting women who live with men for a long period of
  time and bear children with them without legally being married. Also
  to remedy the injustice such men inflict upon such women when the
  union fails. Such women could not sue the man for maintenance and
  their children were being treated as illegitimate.
  3.2 The Government proposed in Para 13 of GN NO. 1 of 1969 that:
  A...if a man cohabits with a woman for a period of more than
  two years then he would be presumed to have married that
  woman, and if they have children such children would be
  deemed to be legitimate children of such spouses as long as
  that man at the time he started co-habitation with such a
  woman was legally capable of being married@.
  3.3 This was translated into legislation in 1971. Section 160(1) of the LMA,
  71 provides:
  AWhere it is proved that a man and woman have lived
  together for two years or upwards, in such circumstances as to​
  have acquired the reputation of being husband and wife, there
  there ​
  shall be a rebuttable presumption that they were duly

  married.   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kapata mwingine!
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kiss Her A$$l Goodbye!
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  dah! Mi naona niachane nae, nitajitahidi kumsahau coz hzo presume zipo upande wake zaidi, huu sijui usawa (equality) imeharibu sana mambo! Roho inaniuma!
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ktk comments za JUST hyo LMA of 1971, 69-2 tafsiri yake ni nin kwani wakubwa?!
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huyo ungemtandika mimba leo yasingetokea haya.
   
Loading...