Recent content by mpepai

  1. mpepai

    Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

    Panda juu ya ghorofa lolote then jirushe tu kwa raha zako
  2. mpepai

    Kwa watumiaji wa supu ya kongoro someni hapa

    Supu tamu sana hii
  3. mpepai

    Kuhusu ku-certify vyeti

    hapana mkuu umekosea kidogo kwa sasa mahakamani hawakubali kama ulivyosema bali ni ivi ukija mahakamani unamwona RO yaani karani mkuu ataangalia na kukupa bei ya kulipia atakupa pay slip ya mahakama uende benk kulipia then utarudisha ili upate risiti ya selikali na hakimu hapo atagonga muhuri wa...
  4. mpepai

    Sijawahi kuona Padre kilema

    ushakuona mwanajeshi kilema ambaye ukilema wake unaingia naye kambini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mpepai

    Huyu ndiye kijana anayekula utamu wa Wolper

    huyo dogo anaitwa Barnaba anaishi tabata kimanga ni mdogo sana amekua namuona anaanza gym pale kimanga kwa doctor July tumemfundisha kajipiga buster baada ya maisha kuwa hayana mwelekeo kwake na sasa kajisalimisha kwa bibi bora apate pesa ya vocha
  6. mpepai

    Prof. Tibaijuka atoa onyo kwa wanaopotosha kauli yake ya 'Unavyopanua zaidi watu wanazidi kutamani'

    ni kweli hata biashara yako ya duka ukipanua zaidi wateja watatamani zaidi kuja kwani wataingia dukani kwako bila shida kwa kuwa kumepanuliwa kuna nafasi imepanuliwa
  7. mpepai

    Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

    upumbavu huu Uganda kwao watu wanakufa kwa njaa mpaka wanachemsha majani ili wasife wao wanafukia pesa ili zioze
  8. mpepai

    Hatimae Pedeshee Ndama akiri kutakatisha fedha

    hakuna neno play kwenye sheria ila toa l weka r
  9. mpepai

    Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

    kwanza asome sheria za jeshi namna gani zinaruhusu kuhusika ndani ya mipaka yake ndipo aje janvini
  10. mpepai

    Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

    unafungaje ndoa ya kikristu mara mbili bila mume au mke wa awali kufariki
  11. mpepai

    Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

    wakome hawa si ndo wale waliokua wanatoa remix ya ccm mbele kwa mbele na kukata miuno jukwaani ili kuvutia watu wajae viwanjani na wakome wamenyeke mpaka basi
  12. mpepai

    Msaada kuhusu Kufunga Kesi Polisi

    nendeni kwa mkuu wakituo mkamueleze nyie mmepatana na kwa.amani mmekubaliana nje ya mahakama upelelezi unafungwa ni bure kabisa na ni njia ambayo kila mwenye akili anaipenda
  13. mpepai

    Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    hilo sio kosa kwa kuwa kwa wakati ule walikua wanaruhusiwa ni sawa na ishu ya viloba tu kukutwa kwenye yard ni swala la kusubiri tu tamko la serikali litasemaje
Back
Top Bottom