Kuna haja ya Kuruhusu JWTZ - Operation Kibiti?

Wakuu ni wazi kuwa tunakoelekea Sasa Tanzania inaface insecurity kama Kenya Ambapo Askari wana popolewa kila na Alshaabab

Namshauri Rais na Timu yake ni wakati wa Kutumia Elite Special special force kama ya JWTZ Nina Imani tutauangamiza Mtandao wa Wahalifu hasa eneo la Kibiti.

Tumechoka na watu wanaua Askari wanapora silaha 8, Halafu siku hiyo hiyo Mtu anakuja kudanganya kwenye media kuwa tumeyakamata silaha ni kweli Unapunguza tension kwa wananchi lakini Mioyoni mwenu Mnajua Kua hamjakamata Silaha yeyote.

Pia Kiwepo kikosi cha Kuchunguza kwa Nini wanaouwawa ni watu wenye mahusiano ya Moja kwa Moja na Chama cha Mapinduzi Chuki hii imesababiswa na Nini na Imeanzia wapi?

Nina amini Military Operation ya JWTZ itazaa Matunda kwanza huwa wako friendly sana na Raia ulilinganisha Polisi.

Hata Nchi Za Uingereza Ni Mara Kibao (Special Air Services) SAS na US Marine na Navy Seal Wanatumika kwenye Majanga Mbalimbali.

View attachment 511125 View attachment 511126
View attachment 511128
Sidhani kama hili tatizo lingekua pande za Kaskazini mngetoa ushauri kama huu haya yanatokana na chuki, ubinafsi na kuto thamini baadhi ya watu Arusha kuna kigogoro mbona hamutoi pendekezo lolote, acheni upogo Serikali inajua nn inachokifanya JWT lina majukumu yake Jeshi la polisi linamajukumu yake mnajadili mnatoa maamuzi wenyewe acheni ukereketwa sibora mngependekeza kujua IGP anasemaje kumbukeni ikipotea amani pwani bara haitonusurika isitoshe kwa nn mnapendekeza nguvu zaid pasi na huruma yoyote !!
 
Sidhani kama hili tatizo lingekua pande za Kaskazini mngetoa ushauri kama huu haya yanatokana na chuki, ubinafsi na kuto thamini baadhi ya watu Arusha kuna kigogoro mbona hamutoi pendekezo lolote, acheni upogo Serikali inajua nn inachokifanya JWT lina majukumu yake Jeshi la polisi linamajukumu yake mnajadili mnatoa maamuzi wenyewe acheni ikereketwa sibora mngependekeza kujua IGP anasemaje kumbukeni ikipotea amani pwani bara haitonusurika isitoshe kwa nn mnapendekeza nguvu zaid pasi na huruma yoyote !!
Mkuu unajichanganya Mimi ni Mwananchi wa kawaida kama wewe.
 
Ukiijadili hii mada Kwa mlengo wa siasa na mihemuko utakosea tu.

Na ndiyo maana basi hata nilichoandika hapo kwanza hakikuelea.
Wewe umesema tukiita JWTZ tutaharibu image ndio nikahoji je image ni muhim kuliko uhai wa wananchi ssa hapo mihemuko ya kisiasa inatoka wapi?? Au kuna chadema na ccm hapo nlioijadili
 
alafu watu hawaijui shughul ya tpdf mmesahau operation kimbunga? watu walikatwa makario yangu.macho.muwaache polisi wafanye kazi yao hatujafikia huko
Kwahyo kwakuwa TPDF wapo agressive na kuonea raia basi wasitumike kuwamaliza magaidi??? Hivyo kwa maoni yako mpaka wafe watu wangapi ndipo TPDF ipelekwe kule au je kipaumbele ni magaidi au impact ya jeshi kwa raia?????
 
Troll JF,
Nadhani ulichoandika ni sawa kabisa na mada yako uliyoandika juu ya graduates kujiajiri kwenye kilimo

Hasa pale , ulipolinganisha graduates na rais msitafu, Dr . Kikwete kuwa yeye analima basi na graduates wakalime waachane na kutembea na bahasha au kujitolea ofisini.

Kwa kifupi , hujui uandikacho na hujui na labda hufahamu implication yake katika image ya nchi Kwa kutumia JWTZ katika operation hiyo .

Ama unajua lakini unajitoa ufahamu.
kwanza asome sheria za jeshi namna gani zinaruhusu kuhusika ndani ya mipaka yake ndipo aje janvini
 
Wewe umesema tukiita JWTZ tutaharibu image ndio nikahoji je image ni muhim kuliko uhai wa wananchi ssa hapo mihemuko ya kisiasa inatoka wapi?? Au kuna chadema na ccm hapo nlioijadili

Siasa imeisha futa uwezo wako wa ziada wa kutathimini mambo.

Endelea vivyo hivyo.
 
kwanza asome sheria za jeshi namna gani zinaruhusu kuhusika ndani ya mipaka yake ndipo aje janvini

Hajui chochote , ndiyo maana nikaweka uzi aliouleta juzi hapa kuhusu "Kikwete na kilimo na graduates" tena, leo ameleta uzi kuhusu "Ebola na mipaka yetu" yaani uelewa wake ni mdogo sana juu ya mambo mengi yanayoendelea Duniani.
 
Siasa imeisha futa uwezo wako wa ziada wa kutathimini mambo.

Endelea vivyo hivyo.
NAKUNUKUU

Troll JF,
Nadhani ulichoandika ni sawa kabisa na mada yako uliyoandika juu ya graduates kujiajiri kwenye kilimo

Hasa pale , ulipolinganisha graduates na rais msitafu, Dr . Kikwete kuwa yeye analima basi na graduates wakalime waachane na kutembea na bahasha au kujitolea ofisini.

Kwa kifupi , hujui uandikacho na hujui na labda hufahamu implication yake katika image ya nchi Kwa kutumia JWTZ katika operation hiyo .

Ama unajua lakini unajitoa ufahamu.

Sasa hapo mkuu nisaidie ulikuwa na maana ganu kusema ''IMPLICATION YAKE KATIKA IMAGE YA NCHI KWA KUTUMIA JWTZ''
 
Kama hiyo sentensi moja ni lazima ufafanuliwe nilichokuwa namaanisha!!
Hakika , vyama vyenu hivyo vya siasa vina kazi ya ziada kuwaelimisha kabla ya kuwapeni majukumu.

Tafuta, mtu aliyekaribu nawe akufafanulie.

Ndiyo maana, nikakuambia kuwa kama utatumia mitizamo ya siasa na mihemuko ni lazima utakosea kuelewa nilichoandika kwenye comment yangu hiyo.
 
Kwahyo kwakuwa TPDF wapo agressive na kuonea raia basi wasitumike kuwamaliza magaidi??? Hivyo kwa maoni yako mpaka wafe watu wangapi ndipo TPDF ipelekwe kule au je kipaumbele ni magaidi au impact ya jeshi kwa raia?????
polis wamesema majambaz ww ugaid umeskia wap.alafu kaz ya polisi ni nin? mda huo bado maana reo tuu wauaji wanavizia je wakiwa wanafanya kma lebels itakuwaje? hii kitu ina malizwa na polisi wenyew au.ww ndy unaamin tpdf ni bora kuliko polisi? unasema kwakuw hujui tpdf wana kaz zao
 
Mkuu so far targeted killings zimefika 35 and still countin je hao wahalifu wauwe wangapi ndipo mkubali polisi wameshindwa??? Je hamuoni kulipuuzia swala hili ni kusababisha watu waendelee kufa kma kuku
 
Hata wakifika 100.

Haya mambo hayapo kirahisi hivyo kama tunavyoandika humu,wangeishaenda kabla hatujaandika humu.
 
Mapolisi wa tanzania ni majing ajinga sana... hayana akili hata moja... hayajui namna ya kusolve situation na kutengeneza mahusiano na wananchi wao wanachoelewa ni kupiga pingu na kupiga watu tanganyika jeki..... yan hata kama hujaresist arrest yanakutwanga tu makofi.... yan kama yamesetiwa iv..
Hao hao mapolisi unaowaita wajinga hawana akili ndio hao ambao wanakesha usiku kucha kukulinda wewe na familia yako, asubuhi ukiamka unakuta vitu vyako viko salama, ni ujinga huo huo wa polisi ambao unakufanya utulie nyuma ya keyboard kupost hicho ulichopost bila kuibiwa device yako, ifikie kipindi tuheshimu taaluma za wenzetu.
 
Back
Top Bottom