WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,015
Habari wakuu?!
Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa akakamatwa akawekwa lumande. Ndugu zake wakamdhamini na kuahidi kunilipa hela yangu. Siku ya malipo imekalibia na mdaiwa kashapata pesa yangu inabidi twende polisi kulipana. Sasa napokea taarifa kuwa ili tumalizana na jalada lifungwe, inatakiwa mimi(mdai) nitoe shilingi laki moja na yeye(mdaiwa) atoe shilingi laki moja jumla ziwe laki mbili ili polisi wafute jalada.
JE NDIVYO SHERIA ILIVYO KUWA ILI POLISI WAFUTE JALADA INABIDI KUTOA HAYO MALIPO??