Naomba ushauri nini nikasomee kwa matokeo haya

JayJay11

Senior Member
Dec 9, 2015
136
139
Habari zenu...
mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016
matokeo yangu nimepata DIVISION IV ya 27
ambapo alama zangu ni
CIVICS D
HISTORY D
GEOGRAPHY F
KISWAHILI C
ENGLISH C
LIT. ENGLISH F
PHYSICS F
CHEMISTRY D
BIOLOGY D
MATHEMATICS F

Hivyo wakuu naomba mnishauri nikasomee course au kitu gani hasa katika upande wa AFYA au BIASHARA
Naombeni msaada maana mie kila nnachofkiria naona sicho
NATANGULIZA SHUKRANI...........
 
Mimi sio mjuaji sana wa haya mambo. Though ninavyojua hizo grades kwa Afya itakuwa nouma hapa Tanzania. Maybe nursing, ila sina huhakika.

Totoke Tanzania. Nikupe ushauri wangu, kama unataka Afya. Na kama hela ipo, nenda India, China au Russia. Naamini utakuwa na mock results pia? Kama ni nzuri kupita hizi utakuwa umeukata. Unaenda nje unapiga medicine vizuri tu. Ukirudi bongo na degree ya udaktari kazi unapata sawa na yule alietoka Harvard. Since a doc is a doc tu sio kama mtu wa biashara ataangaliwa alisoma wapi na performance take academically.

Nina marafiki kibao, wengi walipata marks nzuri... Eg physics B chemistry B na Biology A lakini wameenda abroad. Na nina wale walio piga E mbili na C na wanasoma pamoja. Mmoja ka graduate juzi-juzi na ni Doctor KCMC.

Kama hela ipo achana na shida za Tanzania. Hapa competition kubwa kwa hizo grades zako you will be disappointed. Alafu pia nasikia education hapa comparing na huko, hapa its worse.

Mwenyewe nafunga vilago kwenda medical school September Russia. Sikuchukua mfumo wa NECTA though. Right now nachukua PCB. Matokeo ya form 4 nilipiga B zote. Mocks nina A moja na B mbili.

Goodluck with what you are going to choose.

-callmeGhost
 
well thank you
naomba nsaidie website ama link unayotumia also unazojua ziko active za kuapply kusoma abroad tafadhali......
 
Watembelee Tansao.
Website Welcome | TanSAO

Tho mimi nimetumia other agents wa marafiki zangu. Niliona hawa ni cheaper kuliko Tansao. In fact Tansao wana scholarship. Kama ungerudia au kama unafanya community service... Unaweza bahatika kwenda uni za maana kama Stanford na Cambridge.

Kama una interest na Russia, Ukraine, pamoja na China. Ninaweza kukuunganisha na walionisaidia.

naomba fanya ivo mkuu
naomba niiinganishe nao
 
Habari zenu...
mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016
matokeo yangu nimepata DIVISION IV ya 27
ambapo alama zangu ni
CIVICS D
HISTORY D
GEOGRAPHY F
KISWAHILI C
ENGLISH C
LIT. ENGLISH F
PHYSICS F
CHEMISTRY D
BIOLOGY D
MATHEMATICS F

Hivyo wakuu naomba mnishauri nikasomee course au kitu gani hasa katika upande wa AFYA au BIASHARA
Naombeni msaada maana mie kila nnachofkiria naona sicho
NATANGULIZA SHUKRANI...........
Kasome cherahani
 
Watembelee Tansao.
Website Welcome | TanSAO

Tho mimi nimetumia other agents wa marafiki zangu. Niliona hawa ni cheaper kuliko Tansao. In fact Tansao wana scholarship. Kama ungerudia au kama unafanya community service... Unaweza bahatika kwenda uni za maana kama Stanford na Cambridge.

Kama una interest na Russia, Ukraine, pamoja na China. Ninaweza kukuunganisha na walionisaidia.

-callmeGhost
Braza, Tuache utani.
Huwa sidharau wanaoenda kusoma nje Kwa kukosa nafasi bongo Ila wengi wanakuwaga ni janga.

Hivi mtu Kama Huyu kashindwa hata kupata 30 ya hesabu za O level si kangaroo hili??
Hesabu za o level mtu anapata mswaki aafu unamshauri akasome medicine??
You must be joking!!
Angekuwa kafaulu form four Ila six kazinguliwa na pepa hapo Sawa.
Maana pepa ya six haitabiriki.
Huu utani broo
 
7b6e29463a18c1338aa722e72b69d883.jpg

ca12d363a78817f750df6dd4da20df4e.jpg

Hivi mtu kapata mswaki Kwenye huu mtihani aafu unamshauri akasome medicine??

Kwanza kitendo tu cha kuwa na F Kwenye cheti chako inaonesha how not smart you are.
Umeshindwa hata kufanya selection ya vitu muhimu vya kukomaa navyo.
Vitu Kama medicine, engineering, architecture havitaki kubahatisha bahatisha.
 
Back
Top Bottom