Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema ameipongeza serikali kwa ku deal na mapapa wa madawa ya kulevya na sasa hivi vigogo wakubwa wanaohusika na dawa hizo wanaondoka
Amesema hayo alipokua akihojiwa na kipindi cha Easti Africa radio akizungumzia hali ya msongamano magerezani na kupendekeza wanaokutwa na kete wasipelekwe mahakamani bali hospitali, pia amesema ugomvi na madai madogo sio lazima kupelekana mahakamani kwani inasababisha mahabusu kusongamana sana na wafungwa.