Mkuu Makoshneli Asante sana, endelea kutirirka sasa nimeanza kuelewa vizuri, maana kuna wakati nilikua nasiliza kipindi cha njia panda, nikawa nasikia jamaa alivokua akihadithia safari yake ya kusaka hizo rupia, nikama hadithi za Allan quaterman kama King solomon mines, si mchezo