Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

Nadhani huoni wachawi wewe ni dalili za ugumu wa maisha na msongo wa mawazo.
 
Ulìitoa wapi?coz mpaka mashart umepewa so wewe ni mshirikina,aliekupa akuondolee utajuuta
 
sasa kama masharti ni kutowasemesha basi hiyo ndio dawa yenyewe wasemeshe au wapige panga la kichwa hutawaona tena
 
Mchawi mkubwa wewe!! Ulipoenda kutafuta hiyo midawa ya kishetani hukujua kuwa iko siku itakugeuka?tangu lini shetani akawa na urafiki wa kudumu na binaadamu?? Umia mwenyewe,uliyataka mwenyewe,uliishawahi kusikia kuhusu Yesu kristo kabla ya kuamua kumiliki majini hayo?

Hv mbona unapenda kuhukumu? Kakwambia aliutafuta au unatoa povu tu!
 
Kama una masharti ya kutowasemesha ina maana kuna nguvu iliyokupa uwezo huo. Ushauri wangu urudi hukohuko kwenye ushirikina wako, hapa tunajadili mambo ya maana.
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

Kabla ya kulala Sali na wakija Wakemee kwa Jna la Yesu Kristo wa Nazareti. Jitahidi hata kama ni Muislamu hapo huna jinsi kila goti litapigwa kwake na kila ulimi utamkiri kuwa Yeye ni Bwana na mwokozi.

Halafu jingine ninapenda kujua ulizipata wapi hizo dawa na kama unazo tia kwenye moto maana kukemea tu wakati "mzigo" unao haisaidii!!

We Mmakonde kishetani kingine ni hilo jina lako badili hicho kiungo nacho noma.
 
Mkuu hapo ni sala kwa kila siku kabla ya kulala na kabla ya kuamka.
 
Kula 'jani' a.k.a mmea wa kondeni, hayo mauza uza hautayaona tena!
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.
ukiwaona vunja masharti ya hiyo dawa, andaa bakora, ukiweza mkia wa taa, ukiona charaza
 
Dawa nzuri tena ya bure "mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako kwisha'
 
jamani
kama kuna anayejua dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.

dawa ipo-tena ya bure!!! ni damu ya yesu
 
Mkuu mbona dawa ipo na ni rahisi kabisa"mpoke Yesu kuwa bwana Mungu wako na mwokozi wako",kwisha habari hutawaona tena.


Atakufanya uwe kipofu?? Mi nadhani hata watumishi wa Mungu, baadhi yao, huwa na uwezo wa kuona wachawi.
Ishu hapa si kuona wachawi, bali njia aliyotumia kupata hayo macho ya kiroho.
 
Ebwana Ni PM hayo maujanja niweze kuwaona na mimi. dawa za kuweza kuniondolea kuona wachawi hasa usiku
anisaidie nateseka sana,maana kila siku naweza kuona wachawi 3-5 na mashart yake nikuwa nisiwasemeshe wala nisiwafanye chochote, mwenye kujua anipm tuwasliane zaidi.[/QUOTE]
 
Sali:
Baba Mungu wa majeshi uliye hai nakuomba unitawale kupitia YESU mwanao na ninavunja mikataba kwa damu yake-amen!
 
Umepewa uwezo wa kuwaona ili uwakomeshe sasa unaogopa nini,tafuta njia ya kuwadhbiti na sio ya kutokuwaona.
 
DAWA: 1-Tubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha
2-Mpokee Yesu ndani ya moyo wako
3-Omba kwa Jina la Yesu
Kwa ufupi Ulokole ni Dawa tosha dhidi ya kila namna ya uchawi. Tafuta kanisa linalohubiri wokovu na endelea na mafundisho hapo. HABARI ZA MCHAWI KWISHA!!
 
Back
Top Bottom