Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 831
ukiona manyoya......ameliwa!
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
kwa hiyo nisimalize wino mkuu maana mambo yote yapo hazalani akili kichwani!Hivi ujue unatumalizia wino wa vibodi zetu wewe kwa kutufanya tujaze miushauri hapa wakati kwa uwazi kabisa unaona umelamba garasa...
Hivi kweli jamani huoni hapo kama umekutana na poyoyo ila umeamua tu kumuita mpenzi.
Mwanamke shtuka basi na uanze kufikiria kwa kutumia ubongo badala ya moyo...wewe kutwa kutoa tu sijui ukiombwa na kabang nayo utatoa!!!
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
duh!hapo kuna vitu vingi sana vinavyoashiria kuwa huyo ni mwanaume tu na hafai kuwa mume,kwa hiyo utakapokubali ndoa ujue unaolewa na mwanaume ambaye hatawahi kuwa mumehabari zenu
wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume
wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona
unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya
mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo
milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi
atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja
nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia
akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari
anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa
ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu
anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue
nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri
kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
habari zenu wanajamvini
naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi kustuka anaona ni sawa tu , ndani ya mahusiano yasiozidi mwaka ameshaanza kukukopa hela akiomba mkopo mdogo milioni kabla hajarudisha ya kwanza anataka umkope na nyingine kwa ahadi atakurudishia zote ,na kama hiyo haitoshi most of the time anakuja nyumbani kwako kukusalimia ila atakula na kunywa ila hujawahi msikia akikuambia chukua hii hapa hela ununue mboga ila akivikuta anakula,gari anatumia yako mfano mafuta akiweka anahakikisha siku anakurudishia taa ya mafuta inawaka yaani kalijaze mwenyewe,mbaya zaidi hupafahamu anapokaa ila yye kazi yake kuja kwako na hata haoneshi msisitizo upajue nyumbani kwake ,
mbaya zaidi anakuambia anataka muoane hivi mtu akija kukuomba ushauri kwa hayo matatizo hapo juu ungemshaurije ??
Akili imeganda.
Cougar?