Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari

ni wapuuzi tu ndo wanatetea uonevu na ukandanizaji wa serikali kwa wapinzani we cannot take it any more remember to every action there is equal reaction, sugu alikua anajitahidi kujikwamua kutoka mikononi mwa mabaradhuli mbwa wa chukua chako mapema so akawa ameshika mike na ikachomoka bahati mbaya but that is not a proper way to treat MPs at all, na for ur record hakuna askari amepigwa isipokua alitaka kupigwa, follow the news propely, na angepigwa ni sawa maana askari ndo wamekosa adabu kwa wabunge na raia pia, yy ndo alianza kumpiga sugu, kwanza sugu alichelewa kureact angemchapa mapema tu, na ndugai hatapata ubunge tena maana hata wananchi wake waneshamdharau vya kutosha
 
Mimi niseme tu kwambwaaa wabunge wengi wa upinzani ni khasara kubwa mno katika taifa la Tanzania. Yaani muda huu wenzenu wanachapa kazi kuwatumikia waliowapa kura nyie mko polisi, mara jf' kutafuta huruma ya watu, mara mmetukana agrrr! Hebu badilikeni mnatia taifa aibu. Nyinyi (wb) wapinzani hamstahili hata hiyo sifa ya uheshimiwa.
 
Only this guy knows what is politics Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Where there is a will, there is a way. Pamoja sana makamanda,mpaka kieleweke . M4C WITH NO APOLOGY .
 
Sugu alikuwa anataka kumlipizia polisi teke alilompiga. Alivyoshindwa kulipiza akavunja microphone ya Bunge.

Sasa Bunge inabidi linunue microphone nyingine kwa ajili ya upande wa upinzani.

Haya ndio matatizo ya kuleta vurugu za disco kwenye ukumbi wa Bunge.
 
Mimi niseme tu kwambwaaa wabunge wengi wa upinzani ni khasara kubwa mno katika taifa la Tanzania. Yaani muda huu wenzenu wanachapa kazi kuwatumikia waliowapa kura nyie mko polisi, mara jf' kutafuta huruma ya watu, mara mmetukana agrrr! Hebu badilikeni mnatia taifa aibu. Nyinyi (wb) wapinzani hamstahili hata hiyo sifa ya uheshimiwa.

wewe CHAMVIGA ni mzigo.
hii sifa ya mh ana stahili lusinde? wewe mbona umeacha kazi zako unakuja jf? hivi kweli huruma ya wana jf inaweza kuwa na mchango gani kwenye swala hilo? kuna kosa gani kutupa taarifa?
 
Last edited by a moderator:
Watabwagwa tena mahakamani Lissu Yupo kesi kwisha(Rejea Katiba100-1 :Madaraka na Haki za Bunge )
 
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ahsante Kamanda Nassari...Tupo pamoja...
 
QUOTE=LESIRIAMU;7258283]Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo[/QUOTE]
Mwongozo unapatikana kwenye kifungu iki kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuahiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo. (Msisitizo ni wangu)
 
Back
Top Bottom