Congratulatons Joshua, mapambano yanaendelea.
Jamani majimbo mengine, ambayo bado yanang'ang'ania the tired regime, please learn from the Arumeru constituency.
Aluta continua.
Nimependa sana ubunifu wa dogo kuanza kazi mara moja akiwa mbunge kwa kutafuta fund na kesho kuanza kuchimba visima, GOD...