Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Mungu awabarikini Nyote na mbunge mteule. Yote yanaongozwa naye, tutafika tu
 
Washiri wa John Tendwa Kada namba moja wa CCM walikwenda kupiga kura wapi au daftari lilishawaandika wafu.
 
Congratulatons Joshua, mapambano yanaendelea.
Jamani majimbo mengine, ambayo bado yanang'ang'ania the tired regime, please learn from the Arumeru constituency.
Aluta continua.
Nimependa sana ubunifu wa dogo kuanza kazi mara moja akiwa mbunge kwa kutafuta fund na kesho kuanza kuchimba visima, GOD BLESS YOU PEOPLE.
 
Wao waliposhinda Igunga, walisherekea Singida!!
 
Hongera sana Nassar, Pia pongezi nyingi kwa Chama (CHADEMA) kwa sera nzuri hadi wananchi wakawakubali. Ni ushindi wa kishindo kikubwa sana nimejaribu kuangalia kura za 2010 na za leo kutoka 15 hadi 32 kweli nimeamini chadema inapiga kasi. mwendo mdundo. Cjui ndugu zangu wana CCM tunajifunza nini hapo.
 
Nassaaari.......................dodomaaa!!!!!!!

Siyoiiii ..........................mombasaaa!!!!!!!
 
hongera chadema, hongera mhe joshua nasari mb arumeru mashariki chaguo la wameru. Kwa niaba ya timu ya kampeni ya ccm nakupongeza kwa ridha uliopewa na wanaarumeru.

huo ndo uungwana tunaotaka.

Mh, nina swali la pembeni kidogo,
mnapanga kwenda mahakamani kupinga matokeo?
 
Nikiwa njozini leo Mungu amenifunulia maono haya. Kama CDM watatoa ELIMU ya URAIA nchi hii ikawaingia VIJANA na kufanikisha at least >80% ya vijana kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga KURA. Basi hakutakuwa na njia ya kuizuia CDM kuingia IKULU ya Magogoni.

My Take: Viongozi wa CDM, Imarisheni M4C ifanye kazi kuhakikisha VIJANA wanajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, fursa hiyo itakapotokea. Vijana wameshaanza kufahamu umuhimu wa kura zao. Ili kufanikisha hili mimi ninajitolea kuchangia M4C 10,000/- kila mwezi kwa miezi 9, kwani 10,000/- nilizochangia last month zimezaa matunda Arumeru Mashariki.

Ukombozi wa nchi unahitaji sacrfice
 
Heko chadema, peoplessssssssssssssssssssssss!
 
Kijana aachwe afanye kazi, Arumeru inachangamoto nyingi sana za msingi. Japo na jimbon kwangu kuna changamoto Arumeru kuna la ziada tatizo la ardhi sasa yakianza mambo ya mahakaman tutawanyima wameru matarajio yao kufikiwa
Híi imekaa vizur mwigulu..dah moto wa cdm unanoa akili za watu kweli.
 
Nchemba nadhani ile kauli yako ya wana Arumeru hawahitaji sera wanahitaji porojo inakutokea puani na inawezekana uliitoa ukiwa hauko sober .....
 
Back
Top Bottom