Recent content by mkulu

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Ujajua dada hapo inabidi utulize akili, hata kama anamwanamke mwingine tatizo sio kumkimbia kikubwa hapo nikuelewana tu ili kulea mtoto,maana mpaka anakuwa na wake wawili anajua ataweza kwani tatizo nini.sasa mshatengana faida gani hapo unapata hata ukipata mume mwingine atakuwa anakutaka tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki?

    ''sasa kumbe mdogo wako mwenyewe ndio anasaidia hao wasomali wa Al shabab then unakuja kulalama kuhusu authorities, usalama unaanzia kwa wananchi ambao ni pamoja na wewe na mdogo wako''
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    mama lazma aone kama walimuonea enzi hizo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa Edward Lowassa

    Ha ha haaaaah!!Yawezekana ...............
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Baraza Hili Tutafika?

    inawezekana unayosema yakawa na ukweli ndani yake but hujui kujenga hoja, na wala maelezo yako hayawezi kumconvince mtu!!Maelezo yako yameongozwa na hisia zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mama huyu anayeishi jirani na Ikulu asaidiwe na rais

    tatizo kweli kweli ...... hata yale ambayo tunaweza kufanya sisi wenyewe (kama wewe uliyemuona) tunasubiri Rais aje!! Mwisho utasema hata mimi sina Vogue na Rais nakaa nae jirani pale hajanisaidia. Kama uliguswa na hilo ungesaidia kdg kuliko kulaumu tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    nadhani cha msingi hapa sio kujua materials yaliyonunuliwa wala specification .... Swali la msingi ni kwamba je kulikuwa na umuhimu wa kununua vitu hivyo???coz inawezekana kabisa gharama zikawa ni kweli zinafikia billion moja!!Je vitu hivyo vilihitajika kununuliwa au benki ilistahili kuingia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    duh ..... !!
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na Simu ya mkononi?

    Bluray naona ameamua tu kubisha .... kila kitu kiko wazi hapo na kinaeleweka!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rostam sasa awaita akina Selelii "wapuuzi"

    "Kwa hali ya kawaida miye si wa kujibizana na watu wa aina ya Kimaro... ni kudhani kwao Dowans ni yangu ndo kumepeleka nchi kuingia gizani. Aibu," hapa kuna namna .... kwahiyo hili giza ni kutukomoa kwa kumshtukia kwamba ni yake ama?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    mmh ... wewe?! we umejuaje yote haya?? mbona watetea hivi ....
  12. M

    JamiiForums Tanzania FBI wakamilisha taratibu za kuchukua misikiti minne na jengo la ofisi - Manhattan,USA

    Duh hapa sasa wala sio suala la kiswahili kigumu .... ni mtindio tu wa ubongo!!Hujaelewa nini sasa hapo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    mmmh .... kama ni kumsafisha hii labda umchune ngozi,maji haya hayatamwosha vizuri!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Richmond: Sitta anahusika pia?

    Hatusemi kuwa Spika 6 ni msafi moja kwa moja ila kwa kipindi hicho alikuwa na kila sababu ya kuwasiliana na bwana Gire coz yeye ndiye aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa TIC so sababu ya kuwasiliana isimuhukumu. Isitoshe hakukuwa na tenda za umeme wa Richmond kipindi hicho. kuhusu email ya rostam...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Richmond: Sitta anahusika pia?

    Japo hatusemi kama ni msafi moja kwa moja Ila Spika 6 atleast unaweza kuona alikuwa na sababu ya kuwasiliana na bwana Gire .... Ni yeye ndiye aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC kipindi hicho,kwahiyo ni lazima awasiliane na wawekezaji wote. Bwana Rostam je?alikuwa ni secretary wa Gire?
Back
Top Bottom