Kumbuka statement ya Mkulu wakati wa Kutangaza mawaziri 2006 ''Uwazirii hausomewii''.. SS hapo kwenye elimu anakinga.Hakuna che Feminism, Chauvanism, Lesbianism wala nini katika utendaji wa kazi. That is very personal na wakati mwingine ni kama kisingizio ama defensive mechanism. Alipopewa hiyo kazi ya Uwaziri hakupewa kwa sababu ni Mwanamke alipewa kwa sababu ya sifa zake na utendaji wake wa kazi. Hakukuwa na kigezo cha feminism ingawa rais aliahidi uwakilishi wa kutosha wa kijinsia. Sasa tujiulize mpaka sasa hivi tumepata nini kutoka kwake yeye Sofia Simba?
Ushauri wangu: JF ingeanzisha opinion poll ya Mawaziri wote wa JK aka Muungwana aka VASCO based on their perfomance katika kipindi chote cha miaka mitano.
Kuna ambavyo havina mwisho, kwa mfano bahari, duara, wizi wa kura..... n.kMtashinda ndio kwa kulaghai wanyonge kwa T-shirts,kanga na pilau.Ikiwezekana hata kwa kuiba kura na kutishia usalama wa raia wapenda haki.Lakini mwisho wake upo,Hakunaga barabara ndefu isiyo na mwisho,hata ndoto nzuri huwa inaisha.
LOL. Ushindi ni lazima kwa CCM. Tutashinda hata iwe vipi kwani upinzani Bongo umelala na wanaangalia maslahi binafsi tu!
Kwa muda mwingi viongozi wanawake wa TZ, hawapewi respect kama viongozi wanaume.
Maneno anayojibiwa Mheshimiwa Sophia Simba ni ushahidi wa kutosha kwamba, viongozi wanawake ndani ya TZ wanakazi ndefu ya kupigania haki zao. Kuna maneno mengi ambayo yalitamkwa na viongozi wa kiume bila ya kuwa na ushahidi, lakini hatukuona majibu yasiyokuwa na respect kutoka ktk viongozi wa CCM kama tunavyoona sasa hivi.
Kwa mfano, Mrema na Mtikila, hawa viongozi walikuwa wanazungumza watakavyo bila ya kuwa na ushahidi, lakini hawakuwahi kuitwa " Chizi" "Mwendazimu" au "Kichaa". Ubaguzi wa Wanawake ndani ya TZ ni moja ya tatizo kubwa ambalo linatakiwa litatuliwe haraka iwezakanyo.
Mheshimiwa Simba na viongozi wengine wa kike wajibiwe kwa hoja na si kuambiwa "Machizi" "Mal** nk.
Kumbuka statement ya Mkulu wakati wa Kutangaza mawaziri 2006 ''Uwazirii hausomewii''.. SS hapo kwenye elimu anakinga.
Huyu ni kichaa hiyo ndiyo njia sahihi ya kumwadress hakuna ingine she is mentally sick!! hivi ukiwa uchi bila kuvaa nguo mtu akikwambia ukweli nao kuna gender power imbalance? au watu wamesema alivyo, she is just a whole to be precise!! mwanamke wa kiafrika, aliyelelewa vizuri na anayeishi na kujieshimu hawezi kusema aliyoyasema na kutukana watu ambao wanamzidi umri huyu anaonekana ni changudoa!! na Rais alitakiwa awe amemwajibisha akiwa Cairo na si vinginevyo!! ili alinde heshima ya akina mama particulally wa Pwani.Kama huyu ndo representative wa wanawake wa pwani hata akapewa uwaziri kuna kazi!!! kama bwana mkubwa ataendelea kumfuga!! ya mama Kahama watu walikaa kimya sasa kama hata mtu amekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa JMT anaweza kutukanwa na Changudoa kiasi hiki kisa ni mwanamtandao na mtu wa pwani kazi ipo !! Kama hivyo ndivyo Rais wa nchi anataka kujitambulisha kwetu!!
Mungu ibariki Tanzania!! tuondolee hii fedheha!!
Mkuu tafuta mahusiano ya Sofia, lowasa na Mohamed khatibu na mkuu wa kaya,ndo utajua jeuri hii anaipata wapi.hawajakutana barabarani hawa walianzia Dodoma area C/D..........weneywe wanajua azungumzia nini.../
Kwa muda mwingi viongozi wanawake wa TZ, hawapewi respect kama viongozi wanaume.
Maneno anayojibiwa Mheshimiwa Sophia Simba ni ushahidi wa kutosha kwamba, viongozi wanawake ndani ya TZ wanakazi ndefu ya kupigania haki zao. Kuna maneno mengi ambayo yalitamkwa na viongozi wa kiume bila ya kuwa na ushahidi, lakini hatukuona majibu yasiyokuwa na respect kutoka ktk viongozi wa CCM kama tunavyoona sasa hivi.
Kwa mfano, Mrema na Mtikila, hawa viongozi walikuwa wanazungumza watakavyo bila ya kuwa na ushahidi, lakini hawakuwahi kuitwa " Chizi" "Mwendazimu" au "Kichaa". Ubaguzi wa Wanawake ndani ya TZ ni moja ya tatizo kubwa ambalo linatakiwa litatuliwe haraka iwezakanyo.
Mheshimiwa Simba na viongozi wengine wa kike wajibiwe kwa hoja na si kuambiwa "Machizi" "Mal** nk.
Niliwaambia tangu mwaka 2007 mwezi february hapa kuhusu milioni 200 alizonyanganywa Kilango na wakina GOGO, leo wamesemana wenyewe....mnakumbuka wakati wa kashfa za JK?
Haki Sawa
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 76
Thanks: 1
Thanked 5 Times in 5 Posts
Rep Power: 23