Young investment Co. Ltd was incorporated under the companies Act 2002 section 15 of the United Republic of Tanzania on 12th day of March the year 2018 as a Private limited by Share Company.
The company is now engaged in a variety of business activities not limited to trade, manufacture...
Kama kiwanja kimepimwa na hati ipo kwa jina lako na wewe unayo hiyo hati basi kiwanja ni chako, we kiulaini kabisa hakikisha unalipia kodi kama kawaida na unatunza risiti, hao wengini kama hawana hati waambie wametapeliwa na kisheria imekula kwao
we endelea na ujenzi manake hata wakienda polisi...
Mimi nina mtu nimempangisha nyumba yangu. mkoa tofauti ninapoishi,
Mkataba nimeuatach na email hii,
Kabla ya mkataba huu kwisha nilimtaarifu kwa njia ya simu mpangaji wangu kwamba nitapangisha kodi ya nyumba.
itakuwa 400,000 kwa mwezi.
Mpangaji wangu akiniambia tutaongea, cha kushangaza kabla...
zipo kwenye halmashauri nyingi tu watu wanakaimu ambaopo wengina hawana hata sifa, Taarifa za walimu wenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kushika nafasi hizo zimeshapelekwa TAMISEMI ambao ndio mamlaka ya uteuzi wa watu hao kwa bahati mbaya utaratibu wa kuwateua nao unachukua muda sana TAMISEMI...
mifuko ambayo inatoa pension nzuri hadi sasa ni PSPF na LAPF lakini pspf ni kwa watumishi wa serikali kuu tu tena wenye vyeo vya kuanzia officer pamoja na walimu wote. LAPF walikuwa wanadili na watumishi wa halmashauri lakini kwa sasa wamebadilika wanachukua mtumishi kutoka sekta yeyote. Kama...
Na mimi sitanunua tena gazeti la mwananchi na citizen kutokana na maneno niliyosikia anaongea huyu makungu sijua amelishwa kungu, pumbafu yake, mshenzi sana,hana hata huruma kwa mwandishi mwenzake, shenzi kabisa.
Ripoti gani wanatuletea kama wanaogopa mahakama hiyo kamati ingevunjwa iachiwe...
Huyo Tusiuane ni kuwadi wa huyo Makonda hawezi kusifia kitu ambacho ni uongo,
Huyo makonda hajajiuzuru TAHILISO na kwamba amekaimisha nafasi hiyo na yeye kwenda kugombea umakamu mwenyekiti uvccm na kwamba akishindwa anarudi kuendelea na nafasi yake.
Huu ni undumilakuwili na jamaa anajionyesha...
Nasema tena huyu jamaa afai kuwa kiongozi kwa sababu kwanza anajionyesha hajiamini kama nafasi anayokwenda kugombea atashinda na pili inaonekana anatamaa sana ya uongozi, kwanini akaimishe nafasi ya Uenyekiti Tahiliso na kwenda kugombea nafasi ya umakamu mwenyekiti UVCCM.
kwa masharti ya...
Taarifa kuhusiana na kitendo cha huyu mwenyekiti wa tahiliso kukaimisha nafasi yake kwa muda na kisha kwenda kugombea umakamu mwenyekiti uvccm taifa sijaikubali kabisa kwa sababu inaonyesha huyu jamaa yupo kimkakati kufanikisha kujilisha na si kuwakilisha.
Sikubaliani na kitendo chake cha...
Sijafurahishwa na taarifa ya huyu mtu anayeitwa Paulo Makonda kukasimisha nafasi yake kwa makamu mwenyekiti tahlso bwn. Abubakar Mohamed toka Zanzibar huku yeye akijikita na siasa za kuwania kiti cha umakamu uenyekiti UVCCM Taifa, na kwamba eti akishinda nafasi yake hiyo ya huko UVCCM ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.