Mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Israel masawe, Oct 17, 2012.

 1. I

  Israel masawe Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hi! Wanajamii, nadhani wapo walimu wanaotaka kuhamia mko wa ARUSHA. Walimu kutoka mkoa wa Kilimanjaro Tanga na Morogoro tuwasiliane 0755883313
   
 2. I

  Israel masawe Senior Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Gharama za uhamisho juu yangu
   
 3. m

  mkatangara Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama utakubali kunigharamikia huo uhamisho mi nipo tayari, ni mwalimu nipo tanga naweza kuhamia Arusha, lakini nigharamiwe huo uhamisho
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Walimu wenyewe mishahara haiwatoshi ndo maana wameamua kujiongezea kipato kama mwalimu Doroth na RPC Barlow huko Mwanza, poleni sana maana kuandamana ndo hivo hamtaki
   
 5. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Utakuwa unawalenga walimu wa kike wewe
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Yahusu bluu hapo juu. Vipi sisi tulioko Arusha, hatuna nafasi?
   
 7. I

  Israel masawe Senior Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kweli maisha ni magumu kwa walimu ila sio kwa wote, so utani uwe kiasi. Am serious. Pia kwa mwalimu wa wilaya za Arusha na Arumeru tuwasiliane. Aliye nje ya mkoa asiwe na wasiwasi. Gharama nitachangia za kushughulikia uhamisho na nusu ya gharama za nauli.
   
Loading...