Afisa elimu taaluma wilaya

Luraja

Member
Oct 15, 2012
27
4
Naomba atakayesikia kuna nafasi za afisa elimu taaluma sekondari au shule za msingi katika halmashauri yoyote anipatie taarifa.
 
zipo kwenye halmashauri nyingi tu watu wanakaimu ambaopo wengina hawana hata sifa, Taarifa za walimu wenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kushika nafasi hizo zimeshapelekwa TAMISEMI ambao ndio mamlaka ya uteuzi wa watu hao kwa bahati mbaya utaratibu wa kuwateua nao unachukua muda sana TAMISEMI. huwa hazitangazwi ili watu waombe ni nafasi za uteuzi, kwa mfano kwenye halmashauri nyingi mpya zilizoanzishwa hivi karibui bado hawajateuliwa
 
Naomba atakayesikia kuna nafasi za afisa elimu taaluma sekondari au shule za msingi katika halmashauri yoyote anipatie taarifa.

Walimu wengi siku hz wanasoma wakiwa makazini, hivyo wakirud wanapewa vyeo km hivyo. usitegemee kitatangazwa wakat waloajiliwa wanapandishwa vyeo. ni vigumu cku hz kupata ajira mpya kwa uafisa elimu. mara chache sana
 
Walimu wengi siku hz
wanasoma wakiwa makazini, hivyo wakirud wanapewa vyeo km hivyo.
usitegemee kitatangazwa wakat waloajiliwa wanapandishwa vyeo. ni vigumu
cku hz kupata ajira mpya kwa uafisa elimu. mara chache sana

Ukiwa na insider nadhan inaweza kukusaidia ila c wengin 2conao 2namuachia Mungu.
 
ndugu yangu hizi chance zinatolewa kiupendeleo sana huwezi amini kuna maafisa elimu taaluma ambao ni diploma holders tu! Hata NAFASI za S.L.O ziko Nyingi tu ila zinatolewa kwa kujuana na kuhonga that's why wakuu wa Shule wengi wanazipata coz wana "ukaribu" na Hao vigogo
 
Mamlaka ya uteuzi ni katibu mkuu wizara ya Elimu, TAMISEMI ni wasimamizi wao tu.
 
Back
Top Bottom