Vijana wa timu ya mauzo wanahitajika. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa timu ya mauzo wanahitajika.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, Oct 16, 2012.

 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wewe ni kijana mwenye kupenda kujituma na uhuru wa kufanya kazi?
  Teachers junction.
  Organization inayojihusisha na kuunganisha walimu na shule.
  (teachers recruitment agency)
  Inatangaza nafasi kwa vijana kumi na tano.
  kwa ajili ya timu ya mauzo.
  MAJUKUMU
  Majukumu yao ni kutembelea mashule na kufungua masoko ya walimu wetu mashuleni.
  SIFA:
  1.kodato cha nne au sita.
  2.awe anajua kingereza.
  3.mwenye kujituma.
  4.awe mkazi wa dar es salaam,zanzibar,morogoro na tanga.
  Interview inatarajiwa kufanyika jumaamosi 20/10/2012.
  Magomeni mapipa Dar es salaam.
  Malipo:
  Ni kwa kamisheni.
  Mafunzo ya mauzo ni bure.
  KWA MAWASILIANO:
  project administrator:
  +255655586906 or +255782586906.
  Kwa maelezo zaidi tembelea
  www.***************.blogspot.com.
  Pia unaweza toa maoni yako kwenye facebook page yetu teachersjunction
   
 2. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nadhani vijana hatuna budi kutumia fursa zetu wenyewe kujikwamua mmmhhh
   
 3. kidadari

  kidadari JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 2,345
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mnauza nn?
   
 4. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona unakuwa mgumu kuelewa utaweza kuuza kweli?
  Maana tangazo liko wazi sana kila kitu.
  Rudia tangazo upya kisha uulize
   
 5. m

  mkatangara Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu sikuhizi wanauzwa? duuh hii nayo kali.
   
 6. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nadhani ingekuwa ukijiunga na jf unaambatanisha vyet vyako maana wengine uelewa tatizo fahamu maan ya recruitment agency au kwa kuwa ni neno la kingereza?
  Nenda kajiunge na fb basi
   
Loading...