Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sunguruma, Oct 8, 2012.

 1. s

  sunguruma Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jamani wanajavini naomba kujua ni mfuko gani kati ya hiyo ni mzuri mwenye uzoefu katika hili please
   
 2. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,016
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mzuri kwenye nini?
   
 3. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha kutuumiza roho maana tunaishia kufanya intavyuu KWENE HIYO MIFUKO maendeleo yake hatujui LAKINI kumbe watu teyari wameshapangwa
   
 4. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  hivi inahusika na nini?
   
 5. Sanene

  Sanene Senior Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mizuri kivipi mkuu hebu funguka zaid kidogo
   
 6. halfan30

  halfan30 Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  uzuri kwenye nini? rangi ya logo! moto wa mfuko? funguka ujibiwe
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  GEPF Mwanangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  PPF wanaleta haraka mafao ya mwanachama baada ya kuacha kazi.
   
 9. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 914
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 80


  Nzuri kwa sababu wamekupa ajira nini mkuu?
   
 10. A

  Ael urassa Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Test kotekote,hasa hasa PPF na GEPF
   
 11. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wote wafanyabiashara 2 jaribu yoyote.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Hapana hawa wanatoa fao la kujitoa!!
   
 13. s

  sunguruma Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naongelea mfuko ambao una mfumo mzuri wa kimaslai na faida zingine ambayo mwanachama anapata kwa kuwa kwenye huo mfuko
   
 14. s

  sunguruma Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inakuwaje fao la kujitoa ikiwa SSRA wamegoma hapo vipi mkuu na vipi kuhusu mifuko mingine rate zao zikoje kwa mwanachama
   
 15. s

  sunguruma Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata kama wafanyabiashara kuna mmoja ambae ana unafuu kuliko mwingine kwenye market
   
 16. s

  sunguruma Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nataka kujua the most pensionable firm kwenye hii mifuko na faida za wanachama kwa ujumla
   
 17. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wanazidiana kidogo sana m2 wang maana kuna vi2 wanakopi na kupest kwa kila mmoja.
   
 18. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kwasababu hii ni thread ya employment and tender opportunities nilifikiri mdau anauliza mfuko wenye maslahi mazuri zaidi kwa mwajiriwa wa mfuko husika, anyway mawazo gongana....
   
 19. m

  mkatangara Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mifuko ambayo inatoa pension nzuri hadi sasa ni PSPF na LAPF lakini pspf ni kwa watumishi wa serikali kuu tu tena wenye vyeo vya kuanzia officer pamoja na walimu wote. LAPF walikuwa wanadili na watumishi wa halmashauri lakini kwa sasa wamebadilika wanachukua mtumishi kutoka sekta yeyote. Kama umeajiriwa na serikali kuu unaweza kuchagua kwenda PSPF au LAPF kama hujaajiriwa Serikali kuu tena kwa cheo cha officer na sio mwalimu huwezi kuopt kwenda PSPF.
   
Loading...