DIVA LOVENESS LOVE: Atakayenioa mahali siyo chini ya milioni 500

Status
Not open for further replies.
kwenye twita anauliza mbona hamuachi kumsakama kweli nyie ni great thinkers kweli (maneno ya Diva msije mkanitoa macho bure)
 
IS JAMII FORUMS HOME OF GREAT THINKERS KWELI?



SIJUI Niseme NINI???
Watu 77 on jamii forums wamekaa wana discuss shilingi milioni 500 ambayo nimesema atakaenioa ndo atoe mahari ..........kimewauma au?huyo alieanzisha huo mjadala ni BrokeAss Niggah au???is that a big deal discussing me in and out???
all the craps really?? all the stupid comments on me really???
do u guys really even know me au mnanisikia tu katika radio?? N WHY ... inahusu nini??
what is wrong with u guys??
insanity?? so kwanza let me make this very clear
did i even mention WHO am dating ? wapi sasa hizi story zinatoka?
acheni chuki binafsi na kutengeneza stories, my love life is very private , trust me kama sijawahi sema on Public who am dating acheni kunitengenezea stories za ajabu za who am dating.
hamnijui na hamjui maisha yangu kabisa.
my radio life is diff with my real life
naombeni mheshimu watu wengine na maisha yao acheni kunitengenezea taswira zenu , got my family,wadogo and people i respect, this sucks yaani Period.
hivi are u guys home of great thinkers kweli?
am so dissapointed in u guys .................mniache !!
sipendi kabisa na sitaki mnitoe katika mtandao wenu, how long niseme hili la sitaki mnitoe humo na hizo comments zenu za ajabu ?
if u dont kno shit y sayin shit???
that is so low of YOU so called ????????????? great thinkers​
 
Ila humu kwa mabango wako juu sana.
Anyways kwa sura yake hio mi naeza lipa laki na nusu ili awe mywife.
 
Huyu si changu tu wakawaida, kina ruge, kusaga wamegonga bila kutoa hata shilingi 1. Anajichubua ngozi, hajui kuimba kazi kujipendekeza kwa muuza mitumba diamond. Ondoka ,humu hatutaki milupo humu JF. Kujiongelesha kizungu kumbe hata hyo elimu huna
 
Hivi kila mmoja akiambiwa ajipe value interms of shillings, mtajipa value gani? Nimependa ujasiri wake, alijua kwa vyovyote watu lazima mtachonga.
 
Hivi kila mmoja akiambiwa ajipe value interms of shillings, mtajipa value gani? Nimependa ujasiri wake, alijua kwa vyovyote watu lazima mtachonga.

huwez hata siku moja kuji value mwili wako kwa hela.me value yangu huwez hata kuisema.ila sishangai wasichana weng hua mnamawazo hayo.wakat watu tunajitahd ktoa fikra za mahal kama kuuza nyie wasom ka bisa wamjin mntuangusha.mwil wa binadamu hauna value in terms of money.mil mia tano kwako n kubwa kwa mwingine n hela ya vocha.acha mawazo ya kikolon dada yangu
 
mil 500,mnataka mtaj nn kwenu. mm elfu 20 natoa,na hyo ni kw ajl y sauti tu!
 
Hivi kila mmoja akiambiwa ajipe value interms of shillings, mtajipa value gani? Nimependa ujasiri wake, alijua kwa vyovyote watu lazima mtachonga.

m500 kulipia nn! hicho alichonacho hata mbwa anacho sema tu ya mbwa haufunikwi.
 
dah! kwa hiyo alisema hivyo akitegemea kuwa angejipandisha dau? dah makahaba wana mbinu? nakumbuka enzi zile walivyokuwa wanamtesa Makamba! wema na aunt ezekiel yamevua nguo jukwaani ili kutangaza biashara zao, hili lingine linajidai dau lake ni M500 Pumbavu kabisa, siyapendi makahaba!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom