Isaac Mruma, Caracas, Venezuela
Daily News; Saturday,July 05, 2008 @00:03
Rais Hugo Chavez wa Venezuela amezisifu sera za hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere na kusema anazitumia katika kuendeleza ushirikiano miongoni mwa nchi zinazoendelea.
Chavez aliwaambia mawaziri wa habari...