Zitto awa makini au apata kigugumizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto awa makini au apata kigugumizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukwangule, Mar 28, 2010.

 1. L

  Lukwangule Senior Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ilikuwa siku ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutangaza wapi anawania kati ya majimbo matano aliyokuwa ameyataja mwanzo. Majimbo hayo ni Kahama, Geita, Kinondoni, Kigoma Mjini na Kigoma Kaskazini.

  Hata hivyo katika mkutano wa Geita ambao alisema kwamba atatamka amewaomba watanzania kumpatia muda wa wiki mbili ili kukamilisha utafiti wake.

  Zitto alisema kutokana na utafiti wa awali waliofanya wataalamu wake aliowapa kazi ya kuangalia jimbo analokubalika ameyaondoa majimbo mawili kati ya matano aliyoyataka na kubakiza matatu.

  Majimbo aliyoyaondoa ni ya kinondoni na kahama na kubakiza ya Geita, Kigoma mjini na Kigoma Kaskazkini.
   
 2. m

  mkama Member

  #2
  Mar 28, 2010
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona kama anatikisa kiberiti tu.mwelekeo ni kugombea kwao
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Tatizo anataka kwenda bungeni au anataka kusaidia watu?
   
 4. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nadhani tatizo sio kwenda bungeni kwa kuwa nafasi ya kushinda ni kubwa. Kwa mtizamo wangu anachojaribu ni kujenga mtandao mpana zaidi ikiwa ni kuwawezesha wengine kupitia kwenye nyayo zake kuufika bungeni ikiwa ni kuongeza uwakilishi wa upinzani bungeni. Ni mtizamo wangu tu
   
 5. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  umegonga penyewe mkuu
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  waswahili wanasema kuchamba kwingi............ dogo atulize ball
   
 7. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mkutano wake ulikuwa mkubwa na watu wengi japo Polisi walimgomea Kibali cha kufanyia Geita mjini (katikati ya mji), mvua iliyokuwa imenyesha karibu siku nzima ya jana, bado alikuwa na watu wengi, ......walikuwa wakimlilia agombee Geita. Tizama jinsi ambavyo alikuwa akigombewa na umati huo katika picha hii.

  [​IMG]
   
 8. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Atatangaza Geita huyu ninavyomuona amegundua inamlipa

  [​IMG]
   
 9. B

  Bwamdogo Member

  #9
  Mar 29, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona huyu dogo mwenzangu ana kigeugeu? Alishawahi kusema kuwa hatagombea mwaka huu anaenda kusoma Ujerumani, leo anafanya mchanganuo wa jimbo lipi agombee. Naona hii haiko sawa.
   
 10. m

  mapambano JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima anajipanga vizuri, wakati ukifika atangaza kwa hiyari yake..mchango wake bado unaitajika bungeni
   
 11. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona picha hazifunguki? Nikifungua napewa ujumbe huu "Invalid Attachment specified. If you followed a valid link, please notify the administrator"
   
 12. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naona mods wamefanya kazi yao. Picha sasa zinzonekana. Thanks mods.
   
Loading...