eTV ya Afrika kusini kuonyesha mauaji ya Albino tanzania leo saa nne na nusu usiku

mkama

Member
Oct 19, 2007
67
10
Leo saa nne na nusu usiku(saa za Tanzania),etv ya afrika kusini itaonyesha,kuongelea na kuhoji baadhi ya watu mbalimbali kuhusu mauaji ya Albino nchini kwetu.kipindi kitaendeshwa na mtangazaji wa tv hiyo Debora P kwenye kipindi chao kiitwacho 3rd degree.Inavyoonekana wao wanasema mauaji ya hawa ndg zetu bado yanaendeelea.

Nasubiri kuona watakavyoonyesha hali hiyo,na nini impact yake kwa taifa letu mbele ya macho ulimwengu

Mkama
 
Inawezekana mauaji yanaendela maana vile vishindo vya kura hatujui vimeishia wapi.Nafikiri hata magazeti yamepewa red kutangaza mauaji ya Albinos,ni kimya kikubwa kutoka katika vyombo vyetu vya habari kama vile mauaji hayo hayapo tena nafikiri kuna siku watazuka na kusema serikali imefanikiwa kuzima wimbi la mauaji ya albinos.
 
Back
Top Bottom