Recent content by Mjopho

  1. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuna maneno alisema Pep "there is no friends or enemies, it's just an interest " Ndio nachokiona sasa hivi, kwaku watu wa Arsenal wanajua hata city akinmvuliwa ubingwa na kupewa walioshika nafasi ya pili, wao hawatakuwa wanufaika so wao wanataka City ishushwe daraja maana ndio kizuizi kikubwa...
  2. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sema doku magoli ya namna hiyo ni kama kila akiingia mazoezini anajifunza maana imekuwa ndio kama style yake ya ufungaji
  3. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Let's wait and see what happens
  4. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu kwa namna hiyo tuseme na kila msimu alioshika nafasi ya pili au tatu isomeke hakukuwa na hiyo nafasi? Vipi kama alifika fainali ya FA na EFL na kupoteza, isomeke kuwa timu A ilichukua ubingwa wa mezani?. Na vipj kuhusu pesa walizopata kwa kushika nafasi ya pili au tatu au kufika stage...
  5. Mjopho

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Tuanze hapo mkuu. Kuna 80k ya graduation, first year anahusikaje na je kwa wahusika yaani mwaka wa mwisho hakutakuwa na michango yoyote kwenye mahafali kama miaka ya nyuma, eg joho na madude mengine . Pia kwenye suala la ID gharama za uzalishaji zimeongezeka mara 3?
  6. Mjopho

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Alieuza lazima aandike, ameuza nini kwa bei gani, kama kaandika ameuza mchezaji halafu kaweka bei ya uongo hilo ni tatizo maana ni sawa na kufoji, and kuandika bei pungufu kwa muuzaji ni kujipunguzia uwezo wa matumizi ya fedha, kwahiyo sio rahisi
  7. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa huyu dogo mdukuaji (hacker) tusingejua madhambi ya Man City maana naamini FA walijua ila walikaa kimya

    Remember thata time Halland alikuwa chini ya Mino Raiola kama sijakosea jina lake, jamaa alikuwa mtata sana. City walimpata baada ya huyo jamaa kukata kamba. Swali ni je hiyo bei waliomnunua ilifikia ile ilioandikwa kwenyq mkataba kama release clause?
  8. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa huyu dogo mdukuaji (hacker) tusingejua madhambi ya Man City maana naamini FA walijua ila walikaa kimya

    In thata aspect hata BVB watakuwa nakesi ya kujibu kwa kudanganya mapato na matumizi
  9. Mjopho

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ninachoamini kama kwenye hizo tuhuma kama kuna mambo ya usajili basi ni timu nyingi zitafikiwa. Mfano hiyo issue ya guehe, kama kuna udanganyifu basi timu zote mbili muuzaji na mnunuzi watakuwa na makosa
  10. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Hii inakuwa kama ile waliovaa video vinex kwenye nyimbo ya kokoro rich maviko ft diamond
  11. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Mtoa hii mada anaitwa moto wa volcano, shule imeungua moto ndani ya siku kadhaa tu
  12. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nyie jamaa mjue haya masimango yatadumu kwa wiki 3..
  13. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Paketi moja imatumika kikamilifu
  14. Mjopho

    JamiiForums Tanzania Man U wanapiga mtu huko EFL Cup

    Mpaka sasa ubao unasoma 2 kwa 2...
Back
Top Bottom