kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,760
- 20,632
Zubimendi ni kiazi, kila siku tunawaambia humu mnashupaza shingo, Leo kocha lenu limeona limpe nafasi dogo skelly L, pengine akapata chochote kitu.....
Wembe ni ule ule... .tunataka mliwe kichwa, ama lah... draw itapendeza, adui muombe njaa
Wembe ni ule ule... .tunataka mliwe kichwa, ama lah... draw itapendeza, adui muombe njaa