Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unabishana na timu ipo Semi Finals kaka. Kesho itakubidi utuangalie bila kupenda.
SIKILIZA WEWE SISI NDIO WATAALAMU .Wewe hata ungekua final na unaongoza dakika ya 90 still kombe usingechukua sembuse semi final.
Kuna mwenzako anakuambia feeling ya team yenu kuwa semifinal anaona ni bonge ya feelings , sasa hajui kuna watu wana feelings ya kuwa mabingwa more than once.

Halafu wewe si ndio ulisema game ya 32 mtakua mshatangaza ubingwa au nimekufananisha😀
 
Siku hizi hausikii malalamiko ya magoli ya set pieces kwakua Arsenal hatuscore tena hayo magoli.

Huoni watu wakilalamika wachezaji kujaa kwenye boksi kwakua siyo Arsenal.

Husikii wakisema bingwa wa msimu huu atakua bingwa wa ligi mbovu.

What a wonderful world 🌍
 
Wanetu, streika letu Jokeres lina goli ngApi mpaka sasa ? Tuliambiwa litakuja ku_break historia zote ......

Arteta mwenyewe ameanza kulikatia tamaa, linAlamba ubao, nini shida wazee ?

Julian AlvArez..... remember the name, tukutane badae
 
nimekuwa fan wa Atletico tangu nikiwa mdogo…
IMG_0059.jpeg
 
Siku hizi hausikii malalamiko ya magoli ya set pieces kwakua Arsenal hatuscore tena hayo magoli.

Huoni watu wakilalamika wachezaji kujaa kwenye boksi kwakua siyo Arsenal.

Husikii wakisema bingwa wa msimu huu atakua bingwa wa ligi mbovu.

What a wonderful world 🌍
Tulalamike Nini wakati mshapoteana tayari hata sisi tuna huruma ujue.
Anyway katika match 7 za mwisho ulizocheza umeshinda 2 loss 4 draw 1. Magoli umefunga goals 5 tu , open play goals 2 , set pieces 2 na goal 1 keeper blunder.

Ligi sio mbovu ila arsenal kuchukua ubingwa kwa magoli yake ya corners kungeifanya ligi ionekane mbovu , man city atleast anaokoa jahazi ligi iendelee kuwa Bora😀
 
Hawa Arsenal hivi tu hawajachukua kombe tu lakini Kila tukiwaambia lolote hawaelewi.
Vipi wakichukua tutaongea Nini watuelewe si watakuwa wanaona kama tunapepeta umbea tu

Atletico Madrid nembu fanyeni jambo la maana hapo metro politano .
Kila asiye false hoper na aseme Amina!😀
 
we fala wa bunyokwa sheli huwa ni mpumbavu aisee, arsenal ina kupa endless wet dreams
 
Ni siku nyingine tena ya kuona maajabu
 
we fala wa bunyokwa sheli huwa ni mpumbavu aisee, arsenal ina kupa endless wet dreams
Mkuu wewe si ulisema hutakii kujihusisha na Mambo ya mpira na arsenal ki ujumla na ukawashirikisha na mods kabisa, vipi tena umerudi?

Kama kawaida yako false hoper umekalishwa chini false hopes kupatiwa hutakuwa na wakumlaumu ifikapo may 19 huko.
 
Kobe aki inamisha kichwa chini, ujue ana pima ukubwa wa yake mbroo so usi shangae kuona arsenal ana tinga fainali.
 
Kobe aki inamisha kichwa chini, ujue ana pima ukubwa wa yake mbroo so usi shangae kuona arsenal ana tinga fainali.
Final ipo ila arsenal kutinga ni suala ambalo halipo . Fainali inahusisha mshindi kitu ambacho hamuwezi kushinda hayo magoli mnayapata kwa kutumia nini, mshinde kwa back passes wachezaji wamegeukia golini kwenu dakika karibu 80+
 
Back
Top Bottom