England lazima mchapwe bakora za kwenda london leo.Sahihi Norway watapigwa tu.
Manake hakuna namna
Si ulikuwa unamkejeli umpe kipyenga!?No goal, si iko wazi mzee?
#Hallelujah!!!
Mimi naamini kabisa, na sijifichi mzee mkubwa.Kuna mtu anaamini Norway anaweza kushinda hii game.