Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Mm mwenywe
Salary yang ni 1.15m
Ila naona ni pesa ndog tu
Kuna mwanang mmoja ni seaman per month ankunja $4200
 
Hiyo 1.2 sisi tunalipa kama Mileage (Road allowance) kwa dereva anayeenda na kurudi Congo tena ni zaid ya hiyo
 
Back
Top Bottom